Ofisi ya Taifa ya usalama Serikalini

Ofisi ya Taifa ya usalama Serikalini

Hawa kazi yao kubwa ni Kufanyia Vetting watumishi wa Umma na kutoa mafunzo ya namna ya kudeal na nyara za Serikali. Katika mafunzo yao huwa wanapenda kusema Ukiwa mtumishi wa Serikali/Umma utafuatiliwa mpaka siku unaingia kaburini
 
kwa kimatumbi haziitwi ofisi, bali zinaitwa "safe houses".

nchi yoyote ambayo ina ofisi za ubalozi wa marekani, basi ujue ina safe houses nyingi za CIA.

hata hapa kwetu bongoland zipo safe house za CIA, ila inahitaji knowledge kubwa sana ya kimedani kuweza kuzibaini.
Umeanza upuuzi wa GENTAMYCIME
 
Nyingine inaitwa national institute of productivity yaan upuuz mtupu
Kuna uchafu mwingi sana huko Serikalini tunaougharamia.

Lakini ni kazi bure kuwalaumu hawa wenye ofisi zao. Waliounda ofisi hizo, halafu na kusahau kwamba waliziunda ili zikidhi mahitaji maalum, lakini mara ya kuziunda wakasahau, hao ndio wenye makosa.

Kungekuwa na njia za kuwawajibisha, hao ndio wanastahiri kuwajibishwa.

Hawa watumishi walioko huko, wengi wao watakuwa wamekatishwa ndoto zao za utumishi bora serikalini, kama walikuwa na ndoto hizo.
 
Hawa kazi yao kubwa ni Kufanyia Vetting watumishi wa Umma na kutoa mafunzo ya namna ya kudeal na nyara za Serikali. Katika mafunzo yao huwa wanapenda kusema Ukiwa mtumishi wa Serikali/Umma utafuatiliwa mpaka siku unaingia kaburini
Umejibu sahihi, hao wanadeal na vetting, Siri za serikali na wako ndani ya TiSs ni Idara ndani ya TiSS.

Watu wa sensa mtakumbuka mlivyoaswa na hao watu kuhusu utunzaji wa nyaraka za serikali na utunzaji wa Siri.
 
Vitu kama hamvijui muwe mnauliza sio kusema chai kila kitu..hii tabia hata haikuwepo JF kabla ya ujio wa Hizi tabia zenu za kitoto
Kwahiyo zamani kila kinachoandikwa JF mlikuwa mnakikubali tu! Basi sawa.

Lakini zama za sasa za Mtoto wa Shule kama mimi lazima nibishe mpaka nithibitishiwe pasi na shaka kwamba kilichoandikwa ni sahihi. Kama sio, basi hiyo ni chai!
 
Siyo usalama wa Serikali ni usalama wa Nchi mkuu mtoa mada kazi zao huwezi jua mpaka uwe mtumishi wa Serikali tu.
 
Kwa kimatumbi haziitwi ofisi, bali zinaitwa "safe houses".

Nchi yoyote ambayo ina ofisi za ubalozi wa Marekani, basi ujue ina safe houses za CIA.

Hata hapa kwetu bongoland zipo safe house za CIA, ila inahitaji knowledge kubwa sana ya kimedani kuweza kuzibaini.
Huwezi zijua maana ukishazijua maana yake wako exposed
 
Siyo usalama wa Serikali ni usalama wa Nchi mkuu mtoa mada kazi zao huwezi jua mpaka uwe mtumishi wa Serikali tu.
Mimi pia ni mtumishi wa umma ila zikuwahi kuwa na taarifa zao kabisa.
 
Back
Top Bottom