Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Zanzibar ipo chini ya Waziri mkuu? Acheni mihemkoHapo trilioni 9 ni za Zanzibar kudadadeki
waziri wako wa fedha una mjua, gavana wa bot ehh chawa la kizimkaziZanzibar ipo chini ya Waziri mkuu? Acheni mihemko
๐Yaani maendeleo yawe na bajeti ndogo afu matumizi ya kawaida yawe na bajeti kubwa au mimi ndo sijaelewa vema
TanzagizaOfisi ya Waziri Mkuu na taasisi zilizo chini yake imeliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha jumla ya shilingi trilioni 12.5 kwa mwaka wa fedha 2026/2027.
Hayo yameelezwa leo Aprili 1, 2026 na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba wakati akiwasilisha hotuba ya bajeti ya ofisi yake bungeni jijini Dodoma.
Dkt. Mwigulu amesema kati ya fedha hizo, shilingi trilioni 8.7 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi trilioni 3.7 ni kwa ajili ya matumizi ya maendeleo.
Aisee!Dkt. Mwigulu amesema kati ya fedha hizo, shilingi trilioni 8.7 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi trilioni 3.7 ni kwa ajili ya matumizi ya maendeleo.
Wanamaanisha ni hela isiyo hojiwa wala kukaguliwa na sieijii kama hela za goli la mamaWakisemaga matumizi yakawaida hua wanamaanisha nini?
Paying bills, kama salary, Rent yaani any expense occurs in particular financial yearWakisemaga matumizi yakawaida hua wanamaanisha nini?
Hebu subiri kwanza, Trilioni 8.7 matumizi ya kawaida?
Matumizi ya kawaidaMatumizi ya kawaida vs maendeleo.