Ofisi ya Waziri Mkuu yaomba Tsh. Trilioni 12.5 mwaka 2026/2027

Huyo ndiyo Mwigulu Ze Bilionea ,anataka kufidia hasara ya Mabasi yake ya Esther yaliyochomwa MOTO.
 
Wazee tujadili hiyo mishahara binafsi ,naona serikali inapoteza zaidi ya bil 14 ..Hii ikoje?
 
Ameomba au ndo bajeti yenyewe anayoitaka yeye kwa mipango yake mwenyew e
 
Acha tuuziwe mafuta shs.6000 kwa lita hatuna namna
 
Kwa msioelewa
Ukisikia bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, ujue hapo anajiombea yeye mwenyewe kama taasisi pamoja na wizara zote zilizo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
 
Hiyo ya matumizi ya kawaida kwa ufupi ni mishahara na posho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…