johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mimi nimechukuwa Iringa mjini bwashee.Tunasubiri picha tu bwashee.
Vipi wewe haupo kwenye mstari?
Niko Iringa mjini kumuonyesha Msigwa mlango wa kurudia kwao Makete!ni mataga huyo anafagia ofisi.
Kumekucha tena.
Niko hapa kinondoni mkwajuni aiseee watu wameamua maana siyo kwa umati huu
Naambiwa watia nia wamefika hapa tangu saa 10 alfajili kuwahi nafasi ili ofisi zikifunguliwa wawe wa mwanzo.
Ngoja nijaribu kupiga kapicha niwatupie hapa.
Maendeleo hayana vyama!
Mimi nimechukuwa Iringa mjini bwashee.
Jukumu langu la kwanza nililoombwa na wanyalu ni kuhakikisha Lipuli wana Paluhengo hawashuki daraja.
Umenikumbusha Mbali.. Andunje ufupi si ugojwa...Sio andunje tu bali Pia Kipengondiyo maaana yule andunje stive nyerere amekimbilia Iringa mjini
Thubutu.Ngoja wapange tu foleni ila Mtulia ndo anapitishwa
Kumbee[emoji16]ni mataga huyo anafagia ofisi.
Thubutu.
Wenye CCM yao kinondoni wamechukua fomu!
Unamkataje waziri wa michezo mtarajiwa kwa mfano!Panga linasubiri kuwakata, Mara moja ahaaaaaa
Unamkataje waziri wa michezo mtarajiwa kwa mfano!
Kumekucha tena.
Niko hapa Kinondoni Mkwajuni aisee watu wameamua maana siyo kwa umati huu. Naambiwa watia nia wamefika hapa tangu saa 10 Alfajili kuwahi nafasi ili ofisi zikifunguliwa wawe wa mwanzo.
Ngoja nijaribu kupiga kapicha niwatupie hapa.
Maendeleo hayana vyama!
Maana yake demokrasia imetamalaki.Kumekucha tena.