Uchaguzi 2020 Ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni watu wamepanga foleni ndefu wakisubiri kuchukua fomu

Uchaguzi 2020 Ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni watu wamepanga foleni ndefu wakisubiri kuchukua fomu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kumekucha tena.

Niko hapa Kinondoni Mkwajuni aisee watu wameamua maana siyo kwa umati huu. Naambiwa watia nia wamefika hapa tangu saa 10 Alfajili kuwahi nafasi ili ofisi zikifunguliwa wawe wa mwanzo.

Ngoja nijaribu kupiga kapicha niwatupie hapa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kumekucha tena.

Niko hapa kinondoni mkwajuni aiseee watu wameamua maana siyo kwa umati huu
Naambiwa watia nia wamefika hapa tangu saa 10 alfajili kuwahi nafasi ili ofisi zikifunguliwa wawe wa mwanzo.

Ngoja nijaribu kupiga kapicha niwatupie hapa.

Maendeleo hayana vyama!

Wengi wao wanajua ubunge hawawezi kupata ila target Yao Ni nafasi za uteuzi baada ya kukosa kuteuliwa kuwa mgombea. Watu wanaishi kwa historia maana takwimu zinaonyesha kuwa miaka ya nyuma Waliotia Nia Kisha wakakosa ubunge wamekuwa wakipewa nafasi za uteuzi. Na hii ndo point kubwa hivyo hayo mafuriko yasikupe tabu. Over to you.
 
Baada ya miaka mitano ya uongozi wa Magufuli kazi ya Ubunge imefikiriwa na wengi ndani ya CCM kuwa ni kazi rahisi kufanya.
•kusinzia
•kupiga makofi kwa bidii
•kutoa sifa kwa Rais kwa kila jambo
•kutukana wapinzani kwa bidii
Hii ni tofauti na wakati uliopita au kwa wabunge wa upinzani ambao wanaamini ubunge ni kufanya tafiti, kupigania haki na kushauri mawazo mbadala.
 
Kumekucha tena.

Niko hapa Kinondoni Mkwajuni aisee watu wameamua maana siyo kwa umati huu. Naambiwa watia nia wamefika hapa tangu saa 10 Alfajili kuwahi nafasi ili ofisi zikifunguliwa wawe wa mwanzo.

Ngoja nijaribu kupiga kapicha niwatupie hapa.

Maendeleo hayana vyama!

Fomu za urais, ubunge na hata udiwani zinalipiwa pesa. Haya ni mapato.

TRA mko wapi?
 
Kumekucha tena.

Niko hapa Kinondoni Mkwajuni aisee watu wameamua maana siyo kwa umati huu. Naambiwa watia nia wamefika hapa tangu saa 10 Alfajili kuwahi nafasi ili ofisi zikifunguliwa wawe wa mwanzo.

Ngoja nijaribu kupiga kapicha niwatupie hapa.

Maendeleo hayana vyama!
Maana yake demokrasia imetamalaki.
Watu wakiona kuwa haki sawa matokeo yake ndio haya
 
Back
Top Bottom