Uchaguzi 2020 Ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni watu wamepanga foleni ndefu wakisubiri kuchukua fomu


Watakuwa wamekosea. Teuzi nyingi zilifanywa kimkakati ili kuondoa waliokuwa wa JK ili JPM aanze na timu yake. Teuzi hizo nyingi bado zimejazwa, labda waombee walio katika nafasi hizo waende kinyume na matakwa ya JPM hasa katika uchaguzi huu.

Kinachosikitisha ni idadi ya watia nia kuzidi hata idadi ya nafasi kwa ujumla wake. Ubunge imekuwa ni chanzo cha kipato. Professions zimekuwa nyuma!
 
mzee mgaya anasemaje?
 
Ubunge umefanywa sio uwakilishi tena ni sehemu ya kuongeza kipato
Mbaya zaidi CCM inatumia mwanya huo wa kuingia mjengoni kuwahadaa Watanzania. Mafao na marupurupu ya wanasiasa ni kufuru kwa sababu wao ndio decision makers na wantumia mwanya huo kujinufaisha.Imefikia hatua Watanzania wengi wanakimbia/watakimbia gani zao kuwa wanasiasa,walipo siasani wanakuambia ukitia nia unatumbuliwa na ukiwa katika utumishi wa umma hauruhusiwi kujihusisha na siasa.Wakati huo huo kwa wanaotia nia wengi wanatoka katika nafasi za utumishi wa umma.Hilo halikwepeki kwa sababu huko ndiko walipo wasomi,tofauti na tuna to amino she a.Watumishi wa umma ni Watanzania, wana haki ya kulitumikia Taifa lao katika nyanja zote.Kwa nini wanazibiwa nafasi na wanasiasa waliowahi kuwa watumishi wa umma kabla.Ukiingia huko siasani unasahau ulikotoka kabla ya kuingia peponi?
Haya maajabu ya aina hii yanapatikana Tanzania pekee.Haki ni Haki,Tanzania ni Yetu Sote na Tunatakiwa kuwa Fair,Free as long as we abide to The People's Constitution.
 
Wamevaa barakoa?
 

Wanajidanganya. Leo siyo jana.
 
vip wewe hujaunga foleni au unasubiri uteuzi
 
Bwashee, kapicha bado tu masaa mawili yamekatika?😂😂😂😂 Okota picha yoyote tu tutaamini😁
 
Ajira zenyewe hamna, kwanini tusijaribu bahatii wakati watu tumezoea interview za watu buku kwawani nafasi moja?
 
Na huo uteuzi hawapati maana magu amestuka sasa hivi anateua wakuu wa .idara tu na uchaguzi ukipita tu ndio utaona magu makada hateui tena
 
Ulifanikiwa kumuona Mtulia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…