Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kaskazini zimechomwa moto usiku wa kuamkia leo ikiwa katika maandalizi ya kumpokea Tundu Lissu

Mrisho Gambo ashaanza vurugu zake
Sio Gambo. Yule DC aliyepewa cheo kutokea kule UVCCM Iringa ni hatari zaidi kwa mikakati ya uuaji.
Bila kumzimisha huyo ( kiakili au hata kimwili) atawaletea siasa za maafa Arusha.
 
Umemsahau yule aliyejitangaza mwenyewe kwamba ni kichaa na anateua vichaa wenzake@😂😂😂😂😂😂😂
 
Chadema wamechoma wenyewe kutafuta political sympathy hakuna jipya hapo...

Kila mtu anajua fika kabisa chadema wamechoma wenyewe ofisi zao hapo hakuna mchawi
 
Sio Gambo. Yule DC aliyepewa cheo kutokea kule UVCCM Iringa ni hatari zaidi kwa mikakati ya uuaji.
Bila kumzimisha huyo ( kiakili au hata kimwili) atawaletea siasa za maafa Arusha.
Mnapingana ndoto zenu wenyewe kwa wenyewe
 
Ni wewe peke yake dunia nzima unayeweza kua na akili zakutafuta kiki kwa style hiyo.
Hilo tukio Ni la kutafuta kick tu ya media namkumbuka 2015 pia lilirushwa bomu mkutano wa Chadema Huko Huko Arusha lengo kutafuta kick na attention kwenye media

Ni Chadema tu wanatafuta kick za media attention tu
 
Huo ni mtego. Lissu anachotakiwa kufanya akifika huko asiliongelee sana hilo tukio bali atoe pole na kuendelea na mambo mengine. Sasa hivi kuna matukio yanatrngenezwa kimkakati ili tu ayotolee kauli wapate cha kumnukuu na kukiwasilisha kwa Tume kwa ajili ya mapingamizi.

Hivyo Lissu hapaswi hivi sasa kuongelea matukio au kauli zitakazoibuka, ajiepushe nazo kabisa
 
Hilo tukio Ni la kutafuta kick tu ya media namkumbuka 2015 pia lilirushwa bomu mkutano wa Chadema Huko Huko Arusha lengo kutafuta kick na attention kwenye media

Ni Chadema tu wanatafuta kick za media attention tu
Aisee
 
Mkuu nakumbuka vyema angalizo lako na hatari zote zinazoweza kutokea, lakini hawawezi kuchoma zote, japo uwezo wa kuchoma kadhaa upo.
Yes hawawezi choma zote ila pia hujui watachoma zipi, at least head offices zitakuwa more targeted. Sasa concern yangu kubwa ni kuwa kwa nini uweke kipaumbele kwenye majengo ya ofisi ikiwa unajua huyawezi kusave full purpose ya office?

Kama umewahi kufika ofisi za Chadema utagundua kuwa yale ni majengo tu na sio ofisi, ofisi za Chadema ni virtual zaidi
 
Ntarahamwe waliojifichia CCM ndio wakati wao huo wa kuonyesha Upendo kwa chama tutegemee mengi toka kwa wahutu
 
nyie ndiyo pimbi kabisa mnaofikiria na kuamini kuwa lissu anaweza kupewa nchi kweli tumpe nchi kichaa? nani anataka shida? hatuwezi kukubali kaeni na ujinga wenu mshabikie kitu ambacho hakiwezekani
Calm down ndugu, don't panic. God is the greatest of all,don't you trust in him?
 
nyie ndiyo pimbi kabisa mnaofikiria na kuamini kuwa lissu anaweza kupewa nchi kweli tumpe nchi kichaa? nani anataka shida? hatuwezi kukubali kaeni na ujinga wenu mshabikie kitu ambacho hakiwezekani
Wapiga kura ndio waamuzi, kichaa huwa apigwi risasi wala atungiwi Sheria Kandamizi kuelekea uchaguzi
 
Wazee wa kutengeneza matukio hongera zenu.
Sijui Balozi wa UK, USA n.k watasemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…