Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
sawa na demokrasia ni ya namna moja tu- hoja na majadiliano sio risasi na mabomuNa bado mtanyoooka tuu hu mwaka...tunaye rais mmoja tuu hii nchi
Na bado mtanyoooka tuu hu mwaka...tunaye rais mmoja tuu hii nchi
Ofisi imepata Ulinzi wa bure Leo walinzi wapumzuke nyumbaniKuna Taarifa inasema ofisi ya Chadema Makao Makuu Ufipa na kwenye kanda 8 zipo chini ya Uangalizi mkali wa polisi.
Tutaendelea kuwaletea taarifa.
Ndo solution?? Unaonekana reasoning capacity yako ndogo sanaNa bado mtanyoooka tuu hu mwaka...tunaye rais mmoja tuu hii nchi
asante,kwa kuiona io fursa!Ofisi imepata Ulinzi wa bure Leo walinzi wapumzuke nyumbani
watoke wapi!Na bado mtasema Jeshi la Polisi lina wasomi??
Kuna mtu nilimuambia kuhusu hili...Duuh bado kidogo wataanza kulinda na nyumba wanazoishi wanaukawa