Tetesi: Ofisi za CHADEMA Makao Makuu na Kwenye kanda 8 zipo chini ya uangalizi wa Polisi

Tetesi: Ofisi za CHADEMA Makao Makuu na Kwenye kanda 8 zipo chini ya uangalizi wa Polisi

Watu wakipata vinyongo taratibu.....yataanza matukio ya ajabu ajabu
 
Na bado mtanyoooka tuu hu mwaka...tunaye rais mmoja tuu hii nchi
Naona upo kazin mzee???[emoji35] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Polisi nao wahakikishe wanaondoka na familia zao kwenda huko wanakolinda kwa maana wazee wa ukuta wanafahamu nyumba wanazoishi. Kwa hakika watajuta kwanini walichagua kazi hiyo ambayo hufanywa na watu ambao ni less intelligents.
 
Unasema tu wewe, mtakunjwa vizuri sana.
 
Ndiyo kazi yao kulinda raia na mali zao.
Wajengewe na ofisi zao nje ya hizo ofisi za CHADEMA.
 
Watanzania hatuna haja ya kuandamana waandamanaji wapo tiyar.( FFU na JWTZ).
 
Kazi ya Polisi ni kulinda raia na mali zao. Safi sana.
Nawapenda sana hawa jamaa. Cjui kuna utaratibu gani unafuatwa ukitaka wakulinde nyumbani kwako au ukiwa unasafiri na kamzigo ka misimbazi.

Hawa jamaa wanapiga kazi sana na ni watiifu. Ukiwapa maagizo wanatimiza bila kubisha.
 
Vinyongo vya nini! Mko bize kutetea mafisadi, unadhani hatujui wanaowatuma!
Elimu elimu elimu,,,,,, bibi yako anavyo visibitisho vyaufisadi uo...... Magufuli kwann asiwafunge yani ww unavithibitisho kuwazidi wao,,, AMKA MTANZANIA NGOJA YAKUKUTE,,,, INSHAHLLAH
 
Back
Top Bottom