Tetesi: Ofisi za CHADEMA Makao Makuu na Kwenye kanda 8 zipo chini ya uangalizi wa Polisi

Tetesi: Ofisi za CHADEMA Makao Makuu na Kwenye kanda 8 zipo chini ya uangalizi wa Polisi

CCM bhana, yaani full vituko, wakalinde vituo vyao huko sio maandamano ambayo hayana athari kwao maana waandamanaji hawana silaha yoyote!!
 
Kuna Taarifa inasema ofisi ya Chadema Makao Makuu Ufipa na kwenye kanda 8 zipo chini ya Uangalizi mkali wa polisi.

Tutaendelea kuwaletea taarifa.
Hali ikiendelea hivi hiyo sept 1 utawakuta Polisi na makopo ya Rangi ya kijani mikononi...
Ukianza maandamano ofisi inapigwa rangi....
 
Yote haya ya nini kwa nn tusiamue tu kurudi kwenye mfumo wa Chama kimoja!! Uadui namna hii kisa siasa si vyema. Mwalimu alivyotusaidia kuleta huu mfumo hakumaanisha tufanye uadui kati yetu. Kuinusuru amani ya nchi better we go back. Tuvunje vyama vyooooote tuunde kimoja ili 2020 tupate Rais atakayetokana na mfumo huo. Vyama vingi tuwaachie wazungu sisi bado sana.
 
Back
Top Bottom