Tetesi: Ofisi za CHADEMA Makao Makuu na Kwenye kanda 8 zipo chini ya uangalizi wa Polisi

Tetesi: Ofisi za CHADEMA Makao Makuu na Kwenye kanda 8 zipo chini ya uangalizi wa Polisi

Uzuri ni kwamba hao polisiccm tunaishi nao hukuhuku uswahilini...
 
Inatosha no inatosha tunaitaji utatuzi tu hii mambo ilikuwepo kipindi cha ukoloni nashuhudia sasa kweli tumeludi nyuma miaka 50
 
Duh aibu kubwa sana nguvu kiasi hiki kutumika kwenye kupambana na upinzani badala ya kupambana kuleta maendeleo na kupambana na matukio ujambazi kwenye nchi yetu.
 
Aiseeee!!!
Mnatufanya tujaribu njia nyinginee ambazo ni hatari zaidi

Cha kwanza ungeweka wazi jina lako halisi. Kisha uje na mikwara yako. Vinginevyo mnanogesha tu jukwaa ili muda usonge.
 
Polisi ccm wana nguvu ya kupambana na Upinzani 2 na wala siyo wahalifu na ndiyo maana wana dunguliwa kama kwenye picha la KIHINDI
 
wacha wafanye wanavyotaka maana tuliwapa miaka mitano na wanaojitoa fahamu kusifia kila jambo daah mwisho wa siku tunaelekea sijui wapi labda ndo viwanda hivi au laptop kwa kila mwalimu
 
wacha wafanye wanavyotaka maana tuliwapa miaka mitano na wanaojitoa fahamu kusifia kila jambo daah mwisho wa siku tunaelekea sijui wapi labda ndo viwanda hivi au laptop kwa kila mwalimu

Mimi sio kamanda bana na wala siikashifu wala siitukani serikali. Nyie makamanda si mnaifanya vichwa ngumu bana.
 
Polisi wanaamini ktk kuzuia kwa kutumia nguvu kama njia sahihi kwao hata kama jambo hilo halihitaji hizo nguvu ,Watawala wa awamu hii wanahubiri Amani na mshikamano lakini matendo au vitendo vyao vinaji dhihirisha ktk nguvu na sio katika hoja ..

Matokeo tunayo yaona kwa sasa ndio taswira halisi ya ya Watawala wa awamu hii ,ingalikuwa ni kioo basi hiyo ndio picha inayoonekana..
 
Back
Top Bottom