Tetesi: Ofisi za CHADEMA Makao Makuu na Kwenye kanda 8 zipo chini ya uangalizi wa Polisi

Tetesi: Ofisi za CHADEMA Makao Makuu na Kwenye kanda 8 zipo chini ya uangalizi wa Polisi

Our party has a military wing which is a paper tiger.
We must rethink of the shape,duties and combat readness of the red brigade.
Sasa hakuna fursa ya kufanya siasa ila kuna fursa ya kupigana.
 
Habari niliyoina kwenye moja ya magazeti ya leo ni kwamba,usiku wa kuamkia sept 1 FFU wataingia barabarani kabla ya mwandamanaji yeyote yule,sasa hapo ndo patakuwa patamu.
 
Mbona nchi yote ipo chini ya ulinzi wa polisi na vyombo vingine vya usalama? au mleta taarifa ana taka kusema ni lini polisi na vyombo vingine wameacha kufanya kazi yao ya ulinzi?? Wajameni mambo mengine tupunguzeni mbwembwe.
 
Ukuta imepata kick kiasi siamini, kifupi polisi wametoa ushirikiano wa kutosha kifikisha ujumbe, Maoni yangu hata wana ukawa wasipoandamana.
Ujumbe umefika kila kona.
 
Back
Top Bottom