Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ni kijiwe cha kukutania nakupangisha wafanyabiashara,ofisi zipo ushuani. Ulishawahi kumuona kiongozi wa Simba hapo?
Makao makuu, elewa neno makao makuuKumbe ka jinga, ofisi za Simba zipo Masaki,kwanza hiyo picha umeitoa wapi wakati hiyo floor ya kwanza kuna duka la Sandaland?
Wewe ndiye jinga kabisa kama hukusoma jumba hilo limeandikwa nini. Jengo hilo liko msimbazi ndiyo maana simba inaitwa wana-msimbazi. Je wamebadilika siku hizi ni wana Masaki ilhali kule wamepanga tu?Kumbe ka jinga, ofisi za Simba zipo Masaki,kwanza hiyo picha umeitoa wapi wakati hiyo floor ya kwanza kuna duka la Sandaland?
Jengo hilo limeandikwaje; kule ushuani wamepanga. Mpaka leo simba inaiwa wana-msimbazi kwa sababu jengo hilo liko kwenye mtaa wa Msimbazi.Hapo ni kijiwe cha kukutania nakupangisha wafanyabiashara,ofisi zipo ushuani. Ulishawahi kumuona kiongozi wa Simba hapo?
Ni sehemu iliyo busy kibiashara, pana magari na movements nyingi, vumbi na moshi, so hata jengo likifanyiwa ukarabati, baada ya mwaka tu utaliona kuu kuu. Yapo mawili, ila naona umeleta moja. Weka na lile la pembeni yake alilopangishiwa Sanda Omari Yenga aka SandalandMpaka leo simba inaiwa wana-msimbazi kwa sababu jengo hilo liko kwenye mtaa wa Msimbazi.
Ila mambabadi mabwanye'nye;
Alafu we Jamaa ni Legend kabisa humu Jamiiforums. Kweli Mashabiki wa Utopolo wenye akili ni Mzee UK Kikwete na Mzee Manara tu.
Kwahiyo ukiambiwa makao makuu basi hapo ndipo sinapoendeshewa shughuri za kiutawala?, matter core kabisa, kwamba huelewi makao makuu maana yake nini?,punguza umwijaku mwaisaWewe ndiye jinga kabisa kama hukusoma jumba hilo limeandikwa nini. Jengo hilo liko msimbazi ndiyo maana simba inaitwa wana-msimbazi. Je wamebadilika siku hizi ni wana Masaki ilhali kule wamepanga tu?
….. hutaki kuhusisha jengo hilo na Makao Makuu ya Simba? Başı maandishi hayo yafutwe, haşa maneno “Makao Makuu” yaondolewe ijulikane tu kuwa hilo ni jengo la kitega uchumi la Simba lakini siyo makao makuu. Baada ya hapo, Simba waache kujiita wana-Msinbazi tena.Alafu we Jamaa ni Legend kabisa humu Jamiiforums. Kweli Mashabiki wa Utopolo wenye akili ni Mzee UK Kikwete na Mzee Manara tu.
Uzi tayariHakuna ishu yoyote iliyoandikwa hapo. Amka usome tena post hiyo useme ni sentensi gani zinazobainisha ishu yoyote. Hiyo ni picha ya Makao Makuu ya Simba SC Msimbazi, basi.
Mkuu, utahangaika bure kwa kujiona kwamba wewe ndio mwenye jicho la fursa kuliko watu wote wa Simba! Kwanza ujue pale pana majengo mawili. Moja lilikarabatiwa na kuwekwa wapangaji akiwemo Sandaland. Hilo lingine huwezi kujua, pengine haliboreshwi kwa kuwa muda mfupi ujao litabomolewa!Yako ni post ya 17 kwa hiyo uzi uko timamju.
Inaonekana Simba wanachukia Makao Makuu yao kiasi hawataki yajulikane. Nimeweka picha hiyo ili kufanya watu ambao hawajui makao makuu ya simba yanafananaje wajue. Ni kosa?
Wafuasi wa Simba hawako Dar es Salaam tu; wewe kama unajua mengi kuhusu Makao makuu ya Simba wengine wengi hawajui. Acha picha hiyo iwasaidie.Mkuu, utahangaika bure kwa kujiona kwamba wewe ndio mwenye jicho la fursa kuliko watu wote wa Simba! Kwanza ujue pale pana majengo mawili. Moja lilikarabatiwa na kuwekwa wapangaji akiwemo Sandaland. Hilo lingine huwezi kujua, pengine haliboreshwi kwa kuwa muda mfupi ujao litabomolewa!
Kuna kipindi Aden Rage alisema hilo jengo haliwezi kuongezwa floor zaidi kwa kuwa msingi uliowekwa haukuwa wa kubeba floor nyingine zaidi. So, usidhani kwamba umegundua kitu kilichoshindwa kugunduliwa na wengine, la hasha.
Kuna watu tunakuchora tu. Wazungu wana msemo "It's better to be silent and be thought a fool, than to speak and remove all doubt." Sasa imebaki kidogo tu tutaondoa all doubt 😂