A
Anonymous
Guest
Nimefika leo, Alhamisi, kufuatilia marekebisho ya cheti changu ili niweze kupata cheti kipya. Hata hivyo, nimeelezwa kuwa huduma imesimama kutokana na kukosekana kwa umeme, ambapo inadaiwa transformer imeharibika.
Tulijaribu kupendekeza kutumia jenereta lililopo kwa kuchangia gharama za mafuta, lakini ombi hilo halikukubaliwa. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya watu wameamua kuondoka huku wengine wakiendelea kusubiri hadi umeme utakapopatikana.
Tatizo hili limeanza tangu jana, na linatuweka katika hali ngumu, hasa kwa watu ambao tumetoka kazini kwa ruhusa maalum ya siku moja tu kwa ajili ya kufuatilia huduma hii.
Naomba wahusika watafute suluhisho la haraka ili wananchi tuliokuja kupata huduma tusirudi bila kufanikiwa.
MAJIBU YA TANESCO 👇🏽

Tatizo hili limeanza tangu jana, na linatuweka katika hali ngumu, hasa kwa watu ambao tumetoka kazini kwa ruhusa maalum ya siku moja tu kwa...