Ofisi za UNRWA zafungwa rasmi huko Israel kisa kujihusisha na Ugaidi!!

Ofisi za UNRWA zafungwa rasmi huko Israel kisa kujihusisha na Ugaidi!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
BREAKING: ISRAEL yazifunga rasmi ofisi za UNRWA huko Israel.!!!!

Bunge la Knesset liliidhinisha sheria inayohitimisha shughuli za UNRWA nchini Israel. Shughuli zitakazo sitishwa ni kama zifuatazo-

• Maji, umeme, gesi, mawasiliano ya simu, na kupunguzwa kwa benki
• Kinga ya Umoja wa Mataifa imebatilishwa
• Ardhi ya UNRWA inaweza kutwaliwa ndani ya siku 30
 

Attachments

  • IMG_4695.jpeg
    IMG_4695.jpeg
    327.4 KB · Views: 30
Back
Top Bottom