BREAKING: ISRAEL yazifunga rasmi ofisi za UNRWA huko Israel.!!!!
Bunge la Knesset liliidhinisha sheria inayohitimisha shughuli za UNRWA nchini Israel. Shughuli zitakazo sitishwa ni kama zifuatazo-
• Maji, umeme, gesi, mawasiliano ya simu, na kupunguzwa kwa benki
• Kinga ya Umoja wa Mataifa imebatilishwa
• Ardhi ya UNRWA inaweza kutwaliwa ndani ya siku 30