nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
ni osifi ya salon kuna TV hua natumia kukonect katika decoda ya DSTV, siku iyo Nilitoa,nikawa natumia waya wa AV. gafla sioni.
dogo ndo hua anashinda mi nakua na harakati zingine Sasa huu waya ni muhimu sana, licha ya hiyo kuna waya wa USB pia hauonekani,
dogo ana marafiki kadhaa, huenda wasiwee wao pengine akawa mwingine, mashine za kunyolea hazijawai potea,
nimeandika uzi ili mnipe mawili ma3 jinsi ya kuimarisha ulinzi humu ndani.