Doh jana nmetoka kulizwa 3m ofisini.ni osifi ya salon kuna TV hua natumia kukonect katika decoda ya DSTV, siku iyo Nilitoa,nikawa natumia waya wa AV. gafla sioni.
dogo ndo hua anashinda mi nakua na harakati zingine Sasa huu waya ni muhimu sana, licha ya hiyo kuna waya wa USB pia hauonekani,
dogo ana marafiki kadhaa, huenda wasiwee wao pengine akawa mwingine, mashine za kunyolea hazijawai potea,
nimeandika uzi ili mnipe mawili ma3 jinsi ya kuimarisha ulinzi humu ndani.
zingatia uzi mpya mkuuVipi mpo sawa na waifu ? Maake ulisema unalala na kibunda na humkabidhi Tena 🤔
Mkuu tunatofautianaDoh jana nmetoka kulizwa 3m ofisini.
Nmerudi home nna 10k yangu wala siwazi kipengele kumwambia mke wangu weee.
Usiku mzma anaongea yeye,mpka asubuhi story ni hyo kma hela ilikuwa ya kwake wakati mwenyewe nmeshana kusahau.
Na siyo kwamba naandika haya kwamba najtweza hapa a bali ni kutaka kukukumbusha kuwa na moyo wa kuachia na kutoweka vitu vidogo vidogo moyoni.
Ili hata likitokea kubwa unakuwa strong,siyo unakata moto
inategemea ntu na ntuSio swala la kuja na kupiga yowe humu umeibiwa USB seriously ok Kuna maduka wanauza camera ndogo na wanafunga Kwa bei chee hazina ghamara
Safi sana muibiwe, mnageuza salon ni vijiwe vya vijana baro baro, kutwa kusogoa mambo ya mapenzi na uzinzi,
Na wakuibie had sofa za kukalia hizo, mxxxxiiieeew
Hata hizo za jero, ukitaka wasogoaji wasiwepo inawezekana, ni maamuzi tyuuh.Dada mbona unachuki binafsi na Saloon
Ujue Saloon za kiume zina madaraja kama tulivyo na Guest House za kulaza wageni na Hotel.
Sasa usione udhaifu kwenye Guest house halafu ukasema Hotel zote ni mbaya kumbe Guest house haijafikia hata hadhi ya kuitwa Hotel
Ninachomaanisha; Ukiingia kwenye Saloon za ukweli sio zile za kunyoa kwa buku hata huyo wa kupiga naye soga hayupo.....