nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
sawaVituko!
dawa ya nini?Sumbawanga au Tanga utapata dawa
AiseeFunga camera Kisha weka mmasai na dada mmoja wa kirangi kuangalia angalia usalama
Funga camera Kisha weka mmasai na dada mmoja wa kirangi kuangalia angalia usalama
Kwa vip?Umeiona hiyo sehemu? Kuomba kwingine ushauri ni kama futuhi
acha tuInasikitisha sana
Ungetuma na picha Sasa ili iwe rahisi kukushauri maana kwa hapa makumbusho nilipo ukisema barber shop ni biashara kubwa sanaUmeiona hiyo sehemu? Kuomba kwingine ushauri ni kama futuhi
Funga geti, weka shoti ya umeme getini, tuga mbwa watano, nunua bastola, aliri mmasai, chanja chale tatu matakoni, weka na misukule miwili.. hapo huji kupoteza HDMI wa USB. utakuja kunishukuru mkuu.ni osifi ya salon kuna TV hua natumia kukonect katika decoda ya DSTV, siku iyo Nilitoa,nikawa natumia waya wa AV. gafla sioni.
dogo ndo hua anashinda mi nakua na harakati zingine Sasa huu waya ni muhimu sana, licha ya hiyo kuna waya wa USB pia hauonekani,
dogo ana marafiki kadhaa, huenda wasiwee wao pengine akawa mwingine, mashine za kunyolea hazijawai potea,
nimeandika uzi ili mnipe mawili ma3 jinsi ya kuimarisha ulinzi humu ndani.
Naomba mtia uzi aeleweke. hajasema Barber Shop. kasema Salon, au nimesoma vibaya?Ungetuma na picha Sasa ili iwe rahisi kukushauri maana kwa hapa makumbusho nilipo ukisema barber shop ni biashara kubwa sana
Ungetuma na picha Sasa ili iwe rahisi kukushauri maana kwa hapa makumbusho nilipo ukisema barber shop ni biashara kubwa sana
👍Naomba mtia uzi aeleweke. hajasema Barber Shop. kasema Salon, au nimesoma vibaya?
Hilo ni swala dogo sana mkuu, nicheki Dm nikutatulie swala lako.ni osifi ya salon kuna TV hua natumia kukonect katika decoda ya DSTV, siku iyo Nilitoa,nikawa natumia waya wa AV. gafla sioni.
dogo ndo hua anashinda mi nakua na harakati zingine Sasa huu waya ni muhimu sana, licha ya hiyo kuna waya wa USB pia hauonekani,
dogo ana marafiki kadhaa, huenda wasiwee wao pengine akawa mwingine, mashine za kunyolea hazijawai potea,
nimeandika uzi ili mnipe mawili ma3 jinsi ya kuimarisha ulinzi humu ndani.
Hapo unahitaji kupigiwa ramli au utabiri?Saluni hatujui ilipo.Dogo na wateja/wanaoshinda kushangaashangaa saluni hatuwafahamu.Unataka upewe ramli chonganishi ukagombane na watu wako?ni osifi ya salon kuna TV hua natumia kukonect katika decoda ya DSTV, siku iyo Nilitoa,nikawa natumia waya wa AV. gafla sioni.
dogo ndo hua anashinda mi nakua na harakati zingine Sasa huu waya ni muhimu sana, licha ya hiyo kuna waya wa USB pia hauonekani,
dogo ana marafiki kadhaa, huenda wasiwee wao pengine akawa mwingine, mashine za kunyolea hazijawai potea,
nimeandika uzi ili mnipe mawili ma3 jinsi ya kuimarisha ulinzi humu ndani.
Rekodi clip ya walinzi wakipita kwends na kurudi kisha weka TV kwenye dirisha na icheze clip yako, wezi wa waya hawataingia kuiba iyafoni.ni osifi ya salon kuna TV hua natumia kukonect katika decoda ya DSTV, siku iyo Nilitoa,nikawa natumia waya wa AV. gafla sioni.