Ofisini kwangu nimeibiwa waya wa HDMI naomba kujua jinsi ya kuimarisha ulinzi

Doh jana nmetoka kulizwa 3m ofisini.
Nmerudi home nna 10k yangu wala siwazi kipengele kumwambia mke wangu weee.

Usiku mzma anaongea yeye,mpka asubuhi story ni hyo kma hela ilikuwa ya kwake wakati mwenyewe nmeshana kusahau.

Na siyo kwamba naandika haya kwamba najtweza hapa a bali ni kutaka kukukumbusha kuwa na moyo wa kuachia na kutoweka vitu vidogo vidogo moyoni.

Ili hata likitokea kubwa unakuwa strong,siyo unakata moto
 
Salun ni ofisi tayari, kawaida ya ofisi anaingia mteja tuu akipata huduma yake mshukuru mwambie karibu tena nimefrahi kukuhudumia,! Weka mashalt ofisi sio kijiwe cha kihuni au sehem ya kupoteza muda huo ndio wakati wa kupigwa Sana vitu vidogo vidogo!
Tafuta cctv camera ya kutumia solar maana ya umeme anaweza kuzima chapu zen hiyo inakuwa ware less upate notification kwenye simu, tafuta wataalamu mkuu
 
Vipi mpo sawa na waifu ? Maake ulisema unalala na kibunda na humkabidhi Tena 🤔
 
Safi sana muibiwe, mnageuza salon ni vijiwe vya vijana baro baro, kutwa kusogoa mambo ya mapenzi na uzinzi,
Na wakuibie had sofa za kukalia hizo, mxxxxiiieeew
 
Mkuu tunatofautiana
 
Ila umaskini mbaya sanaa..! sasa waya ndo kitu cha kulilia humu
 
Safi sana muibiwe, mnageuza salon ni vijiwe vya vijana baro baro, kutwa kusogoa mambo ya mapenzi na uzinzi,
Na wakuibie had sofa za kukalia hizo, mxxxxiiieeew

Dada mbona unachuki binafsi na Saloon
Ujue Saloon za kiume zina madaraja kama tulivyo na Guest House za kulaza wageni na Hotel.
Sasa usione udhaifu kwenye Guest house halafu ukasema Hotel zote ni mbaya kumbe Guest house haijafikia hata hadhi ya kuitwa Hotel
Ninachomaanisha; Ukiingia kwenye Saloon za ukweli sio zile za kunyoa kwa buku hata huyo wa kupiga naye soga hayupo.....
 
Hata hizo za jero, ukitaka wasogoaji wasiwepo inawezekana, ni maamuzi tyuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…