VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
Tena kuna Kabila fulani kule Congo (Zaire) kuna jamaa yangu wa Congo alikuwa ananiambia eti akienda kule akipewa chakula hawezi kula (akiamini kwamba akila chakula tu anaweza kulishwa kitu na kujikuta anasahau kwao)...Nasikia wabongo walioko Bongo na hata majuu wanasafiri hadi Nigeria eti kutafuta dawa ya mapenzi!! maana wanaona penzi limepungua!
Ningependa kuamini sababu Elimu haina Mwisho ndio maana naomba mwanajamii mmoja anieleweshe vizuri na kama uwezekano upo tuweze kupata ingredient ili tuwape wanandoa ambao hawajatulia lakini shida ya hii kitu utawezaje kuhakikisha kwamba kweli ndio imefanya kazi..?Kama huamini nenda Kenya kwa Wakamba wakuonyeshe "KAMUTEE" inavyofanyakazi
I really believe sometimes tunakaribisha wenyewe mikosi kwa matendo yetu...,
Kha! Wewe unataka kuwapa wanandoa? Huwa unatoa ushauri kwao na unaona hawaelewi? Kamutee inafanyakazi nimeshuhudiaNingependa kuamini sababu Elimu haina Mwisho ndio maana naomba mwanajamii mmoja anieleweshe vizuri na kama uwezekano upo tuweze kupata ingredient ili tuwape wanandoa ambao hawajatulia lakini shida ya hii kitu utawezaje kuhakikisha kwamba kweli ndio imefanya kazi..?
Vipi unaweza ukaniongezea Data kidogo kwa sisi kina Tomaso..., na unajua Ingredients zake..., Kama ni kweli kwanini nisiwape wanandoa au hata mimi mwenyewe kujaribu na mwenza wangu pia..., huoni kwamba hii itasaidia matatizo mengi.? Je ina madhara yoyote?Kha! Wewe unataka kuwapa wanandoa? Huwa unatoa ushauri kwao na unaona hawaelewi? Kamutee inafanyakazi nimeshuhudia
Dawa ya mapenzi akili yako tu!..
Mie siamini kabisa kama kuna dawa ya mapenzi. Ila naamini kwamba unaweza kumpenda mtu kupitiliza na hii inasababishwa na vitu mbali mbali kama vile jinsi anavyokujali, kukuheshimu, kukuonyesha mapenzi ya hali ya juu kila siku iendayo kwa Mungu n.k. Wale wasiaomini kwamba unaweza kumpenda mtu kupitiliza hadi uwe umerogwa sijui tuwaite vipi labda ndio wale wanaosema nampenda fulani kwa 55% au 60% sijui asilimia nyingine wanamuachia nani. Nasikia wabongo walioko Bongo na hata majuu wanasafiri hadi Nigeria eti kutafuta dawa ya mapenzi!! maana wanaona penzi limepungua!
Mkuu sio kweli kwamba pesa ina-revive kila tatizo katika mapenzi.[/B][/I][/U]
Why not using part of that money to revive the love!
Kwahiyo hii haina kiwango..., ukimpa tu mtu anakuwa zezeta??, basi hii sio dawa ya mapenzi ni dawa ya kuwa kichaa 🙂kama huamini nenda kwa wahaya ulizia shuntama au mnyoshe utapewa lkn madhara yake utajuta kwa nini ulimpa, mi binafsi siwezi kumpa mme wangu kwani nitakuwa na raha gani kumfanya mwenzagu zezeta na je ndugu zake watanionaje
Kwahiyo hii dawa ipo? Wewe umeshashuhudia?Wote wanaopenda kupita kiasi ni asilimia ndogo sana wamepewa dawa,wengi wana maradhi ya utegemezi wa hisia,watu wengi wana njaa ya kupendwa halafu wao wenyewe hawajui kupenda nini!
Dawa zipo, ambacho hujakiona au kushuhudia haina maana hakipo! Nikikuuliza kwanini unaamini dunia ni duara wakati hujaiona kwa macho? Umeoneshwa picha tu na ukaamini!Kwahiyo hii dawa ipo??, wewe umeshashuhudia?
Naamini dunia ni Duara sababu ya usiku na mchana; pia sababu ukitembea kuelekea mbele utajikuta umerudi ulipotoka pia kuna satellite images; Sasa kuhusu hizi dawa yaani kitu ukila au kupewa kikufanye umpende mtu usiyempenda ??Dawa zipo,ambacho hujakiona au kushuhudia haina maana hakipo!Nikikuuliza kwanini unaamini dunia ni duara wakati hujaiona kwa macho?Umeoneshwa picha tu na ukaamini!