Ogopa kufanya jambo ambalo Nyerere hakufanya

Uwanja wa Serengeti umewauma sana watu wa Kilimanjaro na Arusha.

Kanda maalumu msipokaa vizuri huo uwanja hautajengwa kamwe. Hapo kuna upinzani toka Mwanza, Arusha na Kilimanjaro. Wote hawautaki uwanja wa Serengeti.
 
Hatuwezi kuongoza nchi kwa kutegemea upeo wa mtu mmoja. Mwl Nyerere alifanya ya kwake kwa wakati wake, na alishatangulia mbele ya haki. Waliobakia maisha lazima yaendelee. Hatuwezi tena kuishi falsafa za Mwl Nyerere. Yaliyo mazuri twende nayo, ya kuboresha tuboreshe tu. Tatizo la watanzania ni kufikiri Mwl Nyerere alikuwa malaika, soma kitabu chake cha Tujisahihishe, na Uongozi ni hatima yetu. Kuna speech kadhaa hata yeye alikiri kuna pahala alikosea.
 
Nathibitisha wewe ni CHADEMA mana si kwa mitusi hii unayozidi kuporomosha
Wewe ni CCM nathibitisha kwa jinsi unavyotukana, ulivyo na akili finyuuuu na unavyofurahia mauaji, wizi na kuua watu.
 
Wewe ni CCM nathibitisha kwa jinsi unavyotukana, ulivyo na akili finyuuuu na unavyofurahia mauaji, wizi na kuua watu.
Afadhali ulivyokubali wewe ni CHADEMA. So sishangai unavyoporomosha mitusi
 
are yo high on something au! Sijasema kufunga airport sehem mim nilimaanisha kuwa wamesogeza karib airport ili iwe rahis kwao kujichukulia wanyama sa cjui hapo kufunga nimesema wapi au what do mean?
Ndio nachosema, kuwa mbona KIA walisafirisha twiga na inaendelea tu ila serengeti isijengwe kisa itasafirisha wanyama? What's the logic?

Na kingine kuna airstrips zaidi ya 20 huko serengeti, why wasitumie hizo kusafirisha wanyama hadi wasubiri airport mpya?
 
Uwanja wa Serengeti umewauma sana watu wa Kilimanjaro na Arusha.

Kanda maalumu msipokaa vizuri huo uwanja hautajengwa kamwe. Hapo kuna upinzani toka Mwanza, Arusha na Kilimanjaro. Wote hawautaki uwanja wa Serengeti.
That will be a mistake.
 
Mi nina iPhone nyerere hakuwahi kui miliki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna vitu vingi alinena yule mzee bado vinatokea zama hizi,in short hotuba zake nyingi zinaweza kutumika leo hii na zikazidi hizi wanazoandikiwa viongozi wa kileo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…