Ogopa kufanya jambo ambalo Nyerere hakufanya

Kama kuna jambo hakulifanya tukaja kulifanya sisi.

Tufikiri mara mbili.
Hakuna lami hata kutoka karatu-Serengeti. Kwake tu Butiama yaani magunga, buhemba, kyagata n.k hakuna lami alafu unasema eti kwakuwa Nyerere hakujenga basi tusijenge? Una akili timamu wewe?

Nyerere sio malaika kwamba alikua anajua kila kitu, yeye mwenyewe alikiri kukosea mengi tu
 
Hiyo airport inayojengwa huko seregeti ni kusafirisha wanyama coz watakua wanaiba wanyama ni hapo tu ndege chwii imeenda tupo hapo na mtakuja kuniambia kuwa serengeti wanyama wamepungua sana.
Kwani Twiga waliposafirishwa hiyo Airport ilikua imejengwa? Kwanza ambavho hujui ndani ya mbuga kuna airstrip zaidi ya 20 ambazo hazipo regulated kwahiyo kama ni kusafirisha wanyama ndio inafanyika sahivi ila ikiwepo Airport moja tu ina maana wote mnachekiwa.

Na kwa taarifa tu Airport ni kilometer 50 kutokea mbuga ya wanyama
 
sijakuelewa hata kidogo cjui ni mim konyagi zimepanda sana. Unaunga mkono au unapinga hoja? Na kwa uelewa wangu airport ina utofauti na airstrip.
 
Wanaotaka kujenga uwanja wa Ndege Mbugani, hawana hoja.
Uwanja gani unajengwa mbugani? 90% wanaochangia humu hamuelewi chochote kuhusu serengeti.

Airport inajengwa huko Mugumu kwa mbele ukiwa unaelekea Burunga huko zaidi ya 50 km kutoka mbugani. Kwahiyo msipotoshe mambo.
Lami mmegoma isijengwe, wakasema ipite loliondo bado mmegoma, sahivi tena Airport hamtaki kwani wilaya ya serengeti haipo Tanzania?
 
sijakuelewa hata kidogo cjui ni mim konyagi zimepanda sana. Unaunga mkono au unapinga hoja? Na kwa uelewa wangu airport ina utofauti na airstrip.
Napinga hoja yako kuwa eti Airport ikijengwa basi wanyama watasafirishwa.

Maana hata sasa wanasafirishwa kupitia airstrips maana haziko regulated.

Kwahiyo hiyo sio hoja. In fact twiga alisafirishwa kwa ndege pale KIA, je ina maana Airport ya KIA ifungwe?
 
Uwanja gani unajengwa mbugani? 90% wanaochangia humu hamuelewi chochote kuhusu serengeti.

Airport inajengwa huko Mugumu kwa mbele ukiwa unaelekea Burunga huko zaidi ya 50 km kutoka mbugani. Kwahiyo msipotoshe mambo.
Lami mmegoma isijengwe, wakasema ipite loliondo bado mmegoma, sahivi tena Airport hamtaki kwani wilaya ya serengeti haipo Tanzania?
Mimi kwetu Mara, ila wewe ni mpumbavu
 
Mimi kwetu Mara, ila wewe ni mpumbavu
Kwenu Mara na hujui tofauti Ya mbuga ya serengeti na wilaya ya serengeti? Mimi na wewe nani mpumbavu sasa?

No wonder mkoa hauendelei kwa aina ya watu kama wewe.
 
Kuendeleaje?

Hapo Nata na kijumba chako miti, unavizia kwenda kuwimda Swala mbugani, Airport itakusaisia nini?
 
Aliona mbali sana.

Angalia Rais wa Namibia ni moja ya kazi zake.
So what? Imetusaidia nini kama taifa? Mbona leo hii sauzi wanatuua, Kenya wanatubagua na hata msumbiji aliowapambania uhuru, watu kibao wakivuka kule Tunduru kuingia msumbiji wanachinjwa kama kuku.

Dunia ya sasa ni economic benefits sio kutoa msaada usio na malengo ya kimkakati..
 
Kuendeleaje?

Hapo Nata na kijumba chako miti, unavizia kwenda kuwimda Swala mbugani, Airport itakusaisia nini?
Airport itasaidia kuweka urari na kufanya serengeti iwe kitovu cha utalii na sio tu Arusha/kilimanjaro pekee. Haiwezekani mbuga iwe 70% Mara alafu benefits zote kuanzia mahoteli, tours, na exposure ziishie Arusha tu. Hapana its about time na watu wa Mara wafurahie uwepo wa mbuga. Mugumu na Mara in general imechoka sana inahitaji something to keep it busy and exposed to the outside world.

Barabara wamegoma kujenga labda Airport ikijengwa itawalazimu lami ya Mugumu-loliondo-mto wa mbu kujengwa.
 
Labda hujui, Nyerere ndiye mzoga that's why huwezi kujibizana nae bali waweza kunijibu mie
Wewe ni mzoga wa nguruwe unaovunda mtaani sasa hivi, ndio maana ya uvundo unaoudhi .
 
So what? Imetusaidia nini kama taifa? Mbona leo hii sauzi wanatuua, Kenya wanatubagua na hata msumbiji aliowapambania uhuru, watu kibao wakivuka kule Tunduru kuingia msumbiji wanachinjwa kama kuku.

Dunia ya sasa ni economic benefits sio kutoa msaada usio na malengo ya kimkakati..
Andiko la hovyo kabisa toka kwako.

Nani alipaswa kuitekeleza hiyo 'economic benefit'?

Baada ya kusaidia (in actual fact haikuwa kusaidia, bali tulipaswa kushiriki hasa kama tulivyofanya), kilichotakiwa kufuata ni kuchangamkia hizo "economic benefits" unazozizungumzia wewe.
Wewe ulitaka tu zijilete zenyewe?

Tulipokuwa "tunasaidia" kama ulnavyosema, tulikubaliana na hao tuliowasaidia kwa mkataba kuwa malipo yake ni biashara hata bila kujishughulisha?
 
Napinga hoja yako kuwa eti Airport ikijengwa basi wanyama watasafirishwa.

Maana hata sasa wanasafirishwa kupitia airstrips maana haziko regulated.

Kwahiyo hiyo sio hoja. In fact twiga alisafirishwa kwa ndege pale KIA, je ina maana Airport ya KIA ifungwe?
are yo high on something au! Sijasema kufunga airport sehem mim nilimaanisha kuwa wamesogeza karib airport ili iwe rahis kwao kujichukulia wanyama sa cjui hapo kufunga nimesema wapi au what do mean?
 
Back
Top Bottom