Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Una akili timamu?
Unataka kusema nini?
Una akili timamu?
Mwaka 1964 kulikuwa na mauaji Zanzibar?1964
Tanzania haimilikiwi na Nyerere. Yeye alikuwa tu mmoja wa watoto wa Tanganyika na baadae Tanzania. Kiufupi hii ardhi yote ni ya kila Mtanzania na itajengwa na Watanzania, kama Nyerere alivyojenga wakati wake na sisi tunajenga wakati wetuNyerere mwanzilishi wa Taifa huru la Tanzania toka Tanganyika na Zanzibar.
Kama kuna jambo hakulifanya tukaja kulifanya sisi.
Tufikiri mara mbili.
Pamoja na kuwa mzaliwa wa Mkoa wa Mara, hakufikiri hata kujenga Airport Mbuga ya Serengeti.
Ila sasa sisi wajanja kumzidi tunataka kujenga.
Kitatulamba.
Mbona sasa ameshindwa kujenga msingi imara wa kiutawala ja kiuongozi?
Kama binadamu kwa kiasi kikubwa alifanikiwa... changamoto kubwa ni ujasusi na geopolitics.
Pia itategemea unaufahamu upi/mtizamo gani kuhusu maendeleo/ mafanikio...
Mfano mzuri katizame au kasome Azimio la Arusha arafu tafakari kibinadamu kama Azimio la Arusha likifuatwa kikamirifu hari ingekuwaje.
Nyerere sio mungu na msimpe umungu wowote! Na yeye alifanya makosa kama binadamu wa kawaida na makosa yake mengine ndiyo hayo yanalitesa taifa hadi sasaNyerere mwanzilishi wa Taifa huru la Tanzania toka Tanganyika na Zanzibar.
Kama kuna jambo hakulifanya tukaja kulifanya sisi.
Tufikiri mara mbili.
Pamoja na kuwa mzaliwa wa Mkoa wa Mara, hakufikiri hata kujenga Airport Mbuga ya Serengeti.
Ila sasa sisi wajanja kumzidi tunataka kujenga.
Kitatulamba.
Nyerere hakutoa amri watoto wapigwe risasi za kuwaua.
Hakuna shinikizo lolote lile linalohalalisha kupiga risasi watoto na kuwaua.Watasema hakupatwa na shinikizo kama wanaopata viongozi wa leo.
Ujamaa ndio mfumo bora wa uchumi wa mataifa yote yanayofanya kazi kwaajilinm ya watu.Tulisoma Azimio la Arusha.
Lilikuwa wazo bora, ingawaje yalikuwepo mapungufu machache hasa katika sera ya ujamaa, na serikali kumiliki njia zote za uzalishaji mali.
Nyerere alikuwa na mazuri yake. Lakini pia alikuwa na mabaya yake.
Mtoa mada ninapopishana naye ni kutaka Nyerere awe Marking schemes ya vizazi vilivyopo na vijavyo kitu ambacho sio sahihi.
Halafu ktk huu uziWengi wana akili finyu
Makosa yakishakuwa irrelevant unakuwa hujafikiri sawa sawa. Tunatakiwa kulaumu au kukosia kwa makosa yaliyosahihi.Maisha ya mtu kuna mazuri na mabaya. Madhaifu na ubora.
Watu kuponda mabaya au udhaifu wa mtu sio uvivu wa kufikiri au opportunist
Ni kama wewe unayeona mazuri au uhora wa mtu wakuambie huna akili
Hakuna mtu anasema Nyerere alikuwa Mungu.Nyerere sio mungu na msimpe umungu wowote! Na yeye alifanya makosa kama binadamu wa kawaida na makosa yake mengine ndiyo hayo yanalitesa taifa hadi sasa
Haya kamsikilize Padri muuaji Nyerere na propaganda zakeHizo stori za masheikh simulianeni wenyewe huko misikitini.
Hakuna mtu anasema Nyerere alikuwa Mungu.
Msijenge hoja kwenye UPUMBAVU.
Nitajie makosa mawili ya Nyerere
1-
2-
1.alikuwa mbinafsi kwenye mamlaka ndio sababu ya kujitengenezea katiba ya kumfanya awe mungu mtu mdani ya nchiHakuna mtu anasema Nyerere alikuwa Mungu.
Msijenge hoja kwenye UPUMBAVU.
Nitajie makosa mawili ya Nyerere
1-
2-