Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Labda wewe.Utakuwa si M Tanganyika
Labda wewe.Utakuwa si M Tanganyika
Kwa hiyo kwako wewe matajiri kuporwa majumba na viwanda vyao haikuchangia kuleta umasikini!Azimio lilikuwa 1967. Je umasikini wa wa ki nchi uko subjected ktk azimio ?
Mbona kuna nchi zilifanya kama sisi na zimetuacha kimaendeleo?
Tafuta hoja za maana. Hii ni nyepesi sana kuelezea umasikini ktk nchi yenye uranium.
My point ni kuwa tukio la 67 kwa watu wachache unalisubject vipi kwa misfortune inayotokea karibia a century later. Ipite miaka mingapi ili tusimlaumi Nyrere kwa umasikini wetu wa Sasa?Kwa hiyo kwako wewe matajiri kuporwa majumba na viwanda vyao haikuchangia kuleta umasikini!
Kuiingiza nchi kwenye vita kwako wewe haisababishi umasikini...
Mbona Mtanganyika mwenzako mnayefanya kazi pamoja unajifanya humjuiLabda wewe.
Hapo ndo mnaharibu kuingiza uongo na udini kwenye jambo lisilo la kidini. Em leta ushahidi wa Mapadri na waumini wao kung'ang'ania muungano! Mkakati wa machawa ni "divide and rule" kama hivi ili kudumisha muungano batili.
Muungano ni mchongo wa ccm na mafisadi wake. Watanganyika waliukataa kitambo, refer G55, sema walizimwa kwa shuruti na maccm
Wewe umesomeshwa na vijiwe vya CCM , sisi ni victim wa utawala wake tunamjuwaNdio maana nasema wengi mnaompinga Nyerere mna akili finyu vibaya sana.
Na wengi mmejaaa vistori vya vijiweni na hamjawahi kutoka hata nje ya mipaka ya TZ.
TakbiiiiiiibirWewe umesomeshwa na vijiwe vya CCM , sisi ni victim wa utawala wake tunamjuwa
Ukweli ni kuwa hujajibu hoja.Ndio maana nikasema , kwa wakati huo "pengine" yeye aliona muundo na muungano huo una faida kwa wakati huo .
Mwaka 2014 Lissu alihoji bungeni hati ya muungano iletwe ,tukajionea kituko wakagoma kuileta badala yake kikasambazwa kipeperushi mtandaoni kuwa ndio hati ya muungano ila bado wakachemka kwenye saini ya Karume baada ya Lissu kuleta sheria za nyuma zenye saini halisi ya Karume kabla ya hiyo inayoitwa hati ya muungano ya
Muungano ulitengenezwa kwa lengo la umoja ila huo umoja wenyewe haupo.Ukweli ni kuwa hujajibu hoja.
Haijalishi lengo la muungano kuwa lilifaa wakati huo ambapo sasa lengo hilo la uwepo wa muungano halipo.
Muungano haukutengenezwa uwe wa wakati maalum; ulitengenezwa kwa muundo uliotumika ili lengo lifikiwe la kuwa na muungano imara zaidi hata kuliko ulivyoanza.
Vipengele vya kwenye hati ya muungano kufichwa hadi sasa pia ndio vimetufikisha hapa , Zanzibar wamefanya mabadiliko kwenye katiba yao mengi tu na Tanganyika haijafanya, hadi hapo huwezi kusema sisi ni wamoja.Viongozi waliofuata ndio waliotoka kwenye mstari wa utekelezaji wa kuimarisha muungano, na ndiyo maana ukawa kama ulivyo sasa.
Mkuu kutokuwepo au usiri wa hati hiyo ya waasisi wa muungano lazima iletwe maswali maana tuliambiww ipo kama kweli ipo kwanini waifiche , kama wanaona kuna tatito iisitishwe kura ya maoni watu wachague kuukubali au kuukataa muungano tuone wapi watshindaHiyo hoja ya kusema Lissu alisema nini haipo hapa. Kilichopo ni kushindwa kwa viongozi kutekeleza na kulinda yaliyotakiwa kulindwa ili muungano uendelee kuimarika.
Mimi sijawahi kuwa muumini au muungaji mkono ww serikali tatu, hapa tutawapa wananchi mzigo mkubwa kuhudumia serikali hizo.Haya ya kusema serikali tatu ndiyo ingekuwa dawa sahihi ya muungano, ni nani aliyejaribisha hilo na kuona lingekuwa tofauti na sasa ilivyo; tena pengine haraka zaidi ya kuuvunja muungano wenyewe.
Muungano huu hautufanyi kuwa wamoja ndio maana sioni umuhimu wake. Majuzi hapa Zanzibar wamefanya mpango wa kufikishs mafuta moja kwa moja toka Arabuni hivyo kupunguza muda mrefu kuleta mafuta na kushusha gharama hiyo itafaidisha wazanzibar sio watanganyika.Hizi lawama za kusema muundo wa muungano ndilo tatizo hazina uzito hata kidogo; kilicho na uzito ni utekelezaji wa yaliyopangwa katika muundo huo kutufikisha kwenye muundo imara. haya hayakutekelezwa; siyo kwa sababu kulikuwa na makosa katika muundo wenyewe.
Na kwakua umefeli kutupa umoja ndio umuhimu wake unapokosekana.Ni hivi: Muungano ulipashwa kutupeleka kwenye umoja zaidi, baada ya hofu ya wazanzibari kumezwa kufifia na kuondoka kabisa.
Hapo sijapoint hilo kama kosa kwa Nyererw nisome vizuri, nilimaanisha kama hiyo hati ipo ikiwa original iletwe watu wataamua kupima malengo ya wakati huo kuunda muungano hadi sasa ndio yale yale au katikati wahuni walichomoa au kubadili vipengele kadhaa kwa manufaa yao.Sasa hizo habari za vipeperushi alivyoonyeshwa Lissu, nalo liwe kosa alilofanya Nyerere; siyo hao walioshindwa kueleza kilichokuwepo au kutokuwepo na sababu zake ni nini?
Ni kama unanitupia usoni hoja ambayo pengine niliibua mwenyewe humu humu JF kuhusu hao wanaolalamika juu ya mambo mengi aliyofanya Nyerere kwa manufaa ya taifa hili na watu wake.Hivyo pia kwa Nyererw tusiwe rigid kusema kwakua aliunda muungano basi tutakapoona hauna tija tusiuvunje , maana njia ya kutatua kosa ni kujisahihisha na sio kusema hakuna kosa kama mleta mada alivyokumbatia eti tusivunje muungano.
Ndiyo, umoja haupo, kwa sababu walioachiwa kazi ya kuuendeleza umoja huo wao wakaamua kuuvuruga kivyao; siyo kwa sababu muungano usingewezekana kwa sababu ya "kupitwa na wakati" kama unavyotanguliza wewe.Muungano ulitengenezwa kwa lengo la umoja ila huo umoja wenyewe haupo.
Bila shaka utaona kwamba hakuna mahali popote ninapotetea uwepo wa muungano kama huu tulionao sasa, kwa sababu siyo muungano; ni jambo jingine tofauti kabisa na muungano uliokuwa umelengwa toka mwanzo.Na kwakua umefeli kutupa umoja ndio umuhimu wake unapokosekana.
Naam na hao wavurugaji ndio wanajiita eti "wazalendo"Ndiyo, umoja haupo, kwa sababu walioachiwa kazi ya kuuendeleza umoja huo wao wakaamua kuuvuruga kivyao; siyo kwa sababu muungano usingewezekana kwa sababu ya "kupitwa na wakati" kama unavyotanguliza wewe.
Ninapokutana na watu wa aina yako, ambao ni "walevi" wa imani huwa ninatumia njia tofauti ya kujadili na walevi wa aina hiyo.Sikupata ushahidi Huo Leo , ni tokea alipomkamata Sheikh bin Ameir na kumweka jela pia kwa kuivunja jumuiya ya Waislamu na kuunda jumuiya yake ya Bakwata . Ni mengi ukisoma hiyo link
Kwa sasa hivi huko ndani ya CCM, hasa katika uongozi wa chama hicho, simwoni mzalendo yeyote.Naam na hao wavurugaji ndio wanajiita eti "wazalendo"
Naam, lengo/malengo yaliyokusudiwa wakati huo kwa sasa hayajifikiwa na ndio maana tunaona mpasuko na sio umoja.Bila shaka utaona kwamba hakuna mahali popote ninapotetea uwepo wa muungano kama huu tulionao sasa, kwa sababu siyo muungano; ni jambo jingine tofauti kabisa na muungano uliokuwa umelengwa toka mwanzo.
Kwa hiyo hapa sina tofauti yoyote na wewe.
In fact, niseme kuwa tupo pamoja katika hoja zote, isipokuwa hiyo ya lawama juu ya muundo wa muungano ulivyoanzishwa, na kusema kuwa muungano "umepitwa na wakati"; haukupitwa na wakati; bali kilichopo sasa siyo kile kilichonuiwa toka mwanzo..
Nadhani tumemalizana hapa.
Tafsiri ya neno uzalendo kwa CCM ni tofauti na tafsiri halisi inayofahamika duniani.Kwa sasa hivi huko ndani ya CCM, hasa katika uongozi wa chama hicho, simwoni mzalendo yeyote.
Utapata taabu sana kujadili na "mlevi", kama siyo mlevi au kujifanya kuwa mlevi kama yeye.Takbiiiiiiir
CCM hawakumbatii muungano huu mbovu kwa sababu ya muungano kuwa wa manufaa kwa Tanzania. Wanaukumbatia muungano kwa sababu unawanufaisha wao.Tafsiri ya neno uzalendo kwa CCM ni tofauti na tafsiri halisi inayofahamika duniani.
Tafsiri ya CCM uzalendo ni kukumbatia chochote kile hata kama ni kibaya , yaani hata kama meli inazama wewe sema haizami ni dhoruba ya wimbi dogo la maji.
Meli ya Tanzania inaelekea kuzama tangu October 29 ila kuna vibaka wanasema tupo vizuri na nahodha anakata mawimbi wala watu wasiwe na wasiwasi.
Naam , hapo tuko sambamba.CCM hawakumbatii muungano huu mbovu kwa sababu ya muungano kuwa wa manufaa kwa Tanzania. Wanaukumbatia muungano kwa sababu unawanufaisha wao.
Huko Zanzibar kwenyewe, bila ya kivuli cha CCM hali itakuwa ni tofauti kabisa na ilivyo sasa; watavurugana sana.