Ogopa kufanya jambo ambalo Nyerere hakufanya

Ogopa kufanya jambo ambalo Nyerere hakufanya

Kwa mujibu wa makubaliano ya muungano ili hiyo hati iwe halali ni mpaka mabunge yote yakubsli. Zanzibar Hakuna kikao kilichokaa kuzungumzia hiyo hati , wala hamna säini ya kukubali. Nilikuwekea clip hapo jussa ameongea yote na kutoka ushahidi . Labda hujapata wakati wa kuisikiliza
Makubaliano yalisainiwa na serikali mbili.

Yamepitishwa na Bunge la JMT.

Bunge lililokaa ni la JMT sio Tanganyika pekee.
 
Makubaliano yalisainiwa na serikali mbili.

Yamepitishwa na Bunge la JMT.

Bunge lililokaa ni la JMT sio Tanganyika pekee.

Soma majibu ya wachangiaji

Soma majibu ya wachangiaji

Naelewa nachoandika hapa.

Kama hutaki kunielewa acha.
 
Mkuu hivyo kwamba unashauri nini viongozi wetu, wasifanye jitihada za kubadirisha Katiba kama tunavyotaka sisi wananchi kwakuwa Nyerere hakufanya hivyo?
Sikubaliani na mawazo ya kujenga uwanja wa ndege mkubwa mbugani, lakini Nyerere amefanya mengi ya ovyo kwenye utawala wake ambayo hayafai kuigwa na viongozi wa sasa.
 
lakini sisi ukiongea kuuvunja unakuwa Adui na Mapadri wanatuambia muungano ulifanywa na Mungu na wanawaambia waumini wao waulinde kwa gharama yoyote.. Na CCM ndio usiseme wao wanakwambia ndio wataulinda kwa nguvu zote
Hapo ndo mnaharibu kuingiza uongo na udini kwenye jambo lisilo la kidini. Em leta ushahidi wa Mapadri na waumini wao kung'ang'ania muungano! Mkakati wa machawa ni "divide and rule" kama hivi ili kudumisha muungano batili.

Muungano ni mchongo wa ccm na mafisadi wake. Watanganyika waliukataa kitambo, refer G55, sema walizimwa kwa shuruti na maccm
 
Soma vizuri nilichoandika bila jaziba halafu nitakuwekea nini Askofu wa kikatoliki aliwaambia wafuasi wake kuhusu Muungano
 
Soma vizuri nilichoandika bila jaziba halafu nitakuwekea nini Askofu wa kikatoliki aliwaambia wafuasi wake kuhusu Muungano
Askofu gani?
Ukute unaongelea mambo ya chawa mwenzio Pengo (Rip).

Ulivyoandika mwanzo ni kama muungano unatakiwa na Wakatoliki wote kutokana na kushawishiwa na Mapadre, jambo ambalo ni uongo mtupu.

Usipotoshe. Ukweli ni kuwa Muungano unatakiwa na kulindwa kwa udi na uvumba na mafisadi wa sisiemu bila kujali dini zao
 
Kwa hiyo turudi kwenye siasa za ujamaa?

Kupangisha mtu kwenye nyumba yako ni unyonyaji!😀

Nyerere is overrated.
 
Nyerere mwanzilishi wa Taifa huru la Tanzania toka Tanganyika na Zanzibar.

Kama kuna jambo hakulifanya tukaja kulifanya sisi.

Tufikiri mara mbili.

Pamoja na kuwa mzaliwa wa Mkoa wa Mara, hakufikiri hata kujenga Airport Mbuga ya Serengeti.

Ila sasa sisi wajanja kumzidi tunataka kujenga.

Kitatulamba.
Unamuwekea maneno ya uongo Nyerere mdomoni mwake.Aliwaasa Muache mtakayoona ni mabaya na mchukue mazuri myaendeleze.Hakuweka kikomo kwamba msitumie akili zenu kuanzisha mapya na mazuri kwa nchi.Usipotoshe!
 
Kwa hiyo turudi kwenye siasa za ujamaa?

Kupangisha mtu kwenye nyumba yako ni unyonyaji!😀

Nyerere is overrated.
Ndio maana nasema wengi mnaompinga Nyerere mna akili finyu vibaya sana.

Na wengi mmejaaa vistori vya vijiweni na hamjawahi kutoka hata nje ya mipaka ya TZ.
 
Upo sahihi.. Nyerere hakuwahi kujenga wala kuhamia Dodoma japo kwamba aliitangaza kuwa ni Makao Makuu ya nchi. Magu akajifanya mwamba matokeo yake yeyey mwenyewe aliondoka Dodoma serikali ikahamia Chato na dom akaiona chungu. Na aliaga dunia akitokea Chato na kufia Dasalam mjini.
 
Sababu alikuwa na roho mbaya sana.
Alinyang'anya mali za matajiri kwa kisingizio cha Azimio la Arusha.
Alinyang'anya majumba na viwanda vya watu.
Alituingiza kwenye vita na Idd Amini.
Hizi ni baadhi tu ya sababu za Nyerere kututia kwenye lindi la umasikini.
Azimio lilikuwa 1967. Je umasikini wa wa ki nchi uko subjected ktk azimio ?
Mbona kuna nchi zilifanya kama sisi na zimetuacha kimaendeleo?
Tafuta hoja za maana. Hii ni nyepesi sana kuelezea umasikini ktk nchi yenye uranium.
 
Back
Top Bottom