Ogopa mwanamke anayedai pesa ya matunzo

Ogopa mwanamke anayedai pesa ya matunzo

Kuhonga ni raha sana mkuu, mwanamke atajituma sana kwako hata kama una show mbovu.

Ukiwa bahili basi viagra, mkongo, mo extra, kung fu enenrgy ndizo mambo zenu ili msimamie ukucha msiachwe na bado haohao wanakuja kulia shida kwa mapedeshee huku wakijituma haswa ili waongezewe kibunda.

Ila maisha haya....
 
Dogo acha kupingana na kanuni za ulimwengu.

Hiyo ni kanuni ya ulimwengu, kama vile ilivyo gravity. Sasa wewe hangaika kupingana nayo uone mwisho wake.
Kanuni kwa nyie msio na akili. Mimi nimeishi sehemu ambazo, wana maendeleo huo ujinga haupo. Haki sawa. Kwanza, yani mwanamke anaona kama haram kupokea pesa bila sababu eti kisa ni mwanamke. Anaona kama unamshusha uwezo, yani unamfanya kama mdhaifu flani hivi, acha kubweteka na makahaba. Mi sio dogo, dogo!
 
Ndugu wanawake wote, mwanaume anaekupenda na kukuthamini hataacha kukuhudumia sawa sawa na uwezo wake.
Kama hafanyi hivyo kimbia huyo ni tapeli
 
Kila mtu anahudumia ila viwango ndio tofauti tu
 
Ndugu wanawake wote, mwanaume anaekupenda na kukuthamini hataacha kukuhudumia sawa sawa na uwezo wake.
Kama hafanyi hivyo kimbia
Ndugu wanaume wote, mwanamke anaekupenda na kukuthamini hataacha kujishughulisha sawa sawa na uwezo wake.
Kama hafanyi hivyo timua ni malaya mdangaji
 
Sio rahisi kama unavo dhan mkuu..ukiona wanatoa hzo fedha nyingi ujue nyuma yake kunakitu wanafaidika nacho.
OVA.
 
Wadau hasahasa wanaume, kuna utamaduni ambao kimsingi binafsi naona umechangia kwa kiasi kikubwa sana matatizo ya mahusiano.

Kuna kitu wanawake wanaita 'pesa ya matunzo', au 'huduma' na majina mengine mengi.

Wanaume wengi wameingia kwenye huu mtego hasa wakiwa na kahela hata kadogo anaona ni jukumu lake kumhudumia mwanamke ambae naye anapaswa kufanya kazi na kujitafutia.

Sasa, hili jambo limepelekea wanawake kujihusisha na ukahaba na umalaya.

1. Mapenzi ambayo ni yanahusisha miamala, yani transactional relationship ni biashara tayari.

2. Pale mwanaume anapokosa riziki, au kufulia, suala la kugongewa linakuwa karibu kabisa naye sababu mwenzie alishazoea maintenance.

Kwahiyo ataangalia option nyingine huku wewe ukitaabika na stress.

Nilibahatika kidogo kuishi na tamaduni kadha wa kadha, lakini niligundua kuna baadhi ya tamaduni hawaendekezi huu upuuzi.

Pesa haitolewi bila kazi ya msingi. Sasa mwanaume jiulize hiyo pesa unaitoa kwasababu tu ni mwanamke au kwasababu ya huduma gani?

Mwisho kabisa. Watu wengi wameweka ndani makahaba bila kujua, na mtashangaa sana mahusiano ya kisasa yalivo na misukosuko.

OBRIGADO.

Mi nimetoa ushauri na observation tu mkuu. Swali, unamhudumia kwa ajili gani? Hawezi kufanya kazi?

Mtateseka sana mnaoendekeza huu ujinga.

Atakutana na mwenye pesa zaidi yako, mapenzi ya pesa ni sawa na kununia shivers au kimboka mzee.
Kwa hiyo tunaohudumia wake tunaendekeza ujinga?
Kwa hiyo wa kwako hutoi huduma.
 
Kwa hiyo tunaohudumia wake tunaendekeza ujinga?
Kwa hiyo wa kwako hutoi huduma.
Unaendekeza umalaya na ukahaba pia. Mimi nikimpa pesa, matumizi yake yanafahamika na ni kwa ajili ya family, sio maintenance yake. Yeye anafanya kazi. Akitaka nimpe extra. Afanye kazi ntakayompatia kwa makubaliano!! Sio nimpe tu simply because ni mwanamke
 
Ndugu wanaume wote, mwanamke anaekupenda na kukuthamini hataacha kujishughulisha sawa sawa na uwezo wake.
Kama hafanyi hivyo timua ni malaya mdangaji
Atakua mpumbavu wa mwisho huyo mwanamke uache kujishughulisha kisa una uhusiano na mtu umempenda na kumthamini?? 😅😅
😅Atakua ana mapepo
Wakaka mwanamke wa hivi kimbia mara 1
 
Dogo acha kupingana na kanuni za ulimwengu.

Hiyo ni kanuni ya ulimwengu, kama vile ilivyo gravity. Sasa wewe hangaika kupingana nayo uone mwisho wake.
SI ndio maana upinde unazidi kung'aa rangi zake.
Wanaume hawataki kutimiza wajibu wao kama waume
 
Back
Top Bottom