Ogopa mwanamke anayedai pesa ya matunzo

Ogopa mwanamke anayedai pesa ya matunzo

Kama huna hela kama mimi kaa kando waache wenye nazo wapite mikono mitupu hailambwi
Kwahiyo maskini hawaitaji upendo au mahusiano? Hiyo akili umeitoa wapi? 🤣. Nyie ndio mnaweka ndani makahaba.
 
No money no honey.

UnAkumbuka huu msemo?

Uliyoandika ni sahihi kabisa but does not help.

Siku hizi wanasema tafuta pesa uache kujieleza sana
No real love. Its business. Mimi ninape da iwe wazi kwamba twafanya biashara. Lets be real.
 
Wadau hasahasa wanaume, kuna utamaduni ambao kimsingi binafsi naona umechangia kwa kiasi kikubwa sana matatizo ya mahusiano.

Kuna kitu wanawake wanaita 'pesa ya matunzo', au 'huduma' na majina mengine mengi.

Wanaume wengi wameingia kwenye huu mtego hasa wakiwa na kahela hata kadogo anaona ni jukumu lake kumhudumia mwanamke ambae naye anapaswa kufanya kazi na kujitafutia.

Sasa, hili jambo limepelekea wanawake kujihusisha na ukahaba na umalaya.

1. Mapenzi ambayo ni yanahusisha miamala, yani transactional relationship ni biashara tayari.

2. Pale mwanaume anapokosa riziki, au kufulia, suala la kugongewa linakuwa karibu kabisa naye sababu mwenzie alishazoea maintenance.

Kwahiyo ataangalia option nyingine huku wewe ukitaabika na stress.

Nilibahatika kidogo kuishi na tamaduni kadha wa kadha, lakini niligundua kuna baadhi ya tamaduni hawaendekezi huu upuuzi.

Pesa haitolewi bila kazi ya msingi. Sasa mwanaume jiulize hiyo pesa unaitoa kwasababu tu ni mwanamke au kwasababu ya huduma gani?

Mwisho kabisa. Watu wengi wameweka ndani makahaba bila kujua, na mtashangaa sana mahusiano ya kisasa yalivo na misukosuko.

OBRIGADO.
Ogoma mwanamke anae penda kujipamba kupita kiasi kila teleo la nguo anaitaka CM kila mala saloni

Ogopa mwanamke mpenda waganga kila anaposikia kaenda tu

Ogopa mwanamke muimba kwaya hasa haya makanisa ya kirokole kila saa 9 jioni kaupala huyo [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Shida ya hili swala la huduma limekua pna sana, usipoangalia hutafanya la maana. Wamekua wakitaka huduma kubwa sana. Hakuna mwanaume hatakai kumhudumia mwanamke wake, shida ni kwa kiasi gani kulingana na kipto?

Ndoto ya kila mwanaume ni kuwa na mwanamke kama wa yatapita ya chibu. Binti aliletewa vigauni vya bukubuku na akaridhika maskini. Hili humpa nguvu sana mwanaume ya kukupa tena. Ila shida yao hawaridhiki
 
Mara paap unakuta jamaa naye kumbe ni mwanamke daah! Sema ana kitu, asikilizwe vizuri
 
Wadau hasahasa wanaume, kuna utamaduni ambao kimsingi binafsi naona umechangia kwa kiasi kikubwa sana matatizo ya mahusiano.

Kuna kitu wanawake wanaita 'pesa ya matunzo' au 'huduma' na majina mengine mengi.

Wanaume wengi wameingia kwenye huu mtego hasa wakiwa na kahela hata kadogo anaona ni jukumu lake kumhudumia mwanamke ambae naye anapaswa kufanya kazi na kujitafutia, hili jambo limepelekea wanawake kujihusisha na ukahaba na umalaya.

1. Mapenzi ambayo ni yanahusisha miamala, yaani transactional relationship ni biashara tayari.

2. Pale mwanaume anapokosa riziki, au kufulia, suala la kugongewa linakuwa karibu kabisa naye sababu mwenzie alishazoea maintenance. Kwahiyo ataangalia option nyingine huku wewe ukitaabika na stress.

Nilibahatika kidogo kuishi na tamaduni kadha wa kadha, lakini niligundua kuna baadhi ya tamaduni hawaendekezi huu upuuzi.

Pesa haitolewi bila kazi ya msingi. Sasa mwanaume jiulize hiyo pesa unaitoa kwasababu tu ni mwanamke au kwasababu ya huduma gani?

Mwisho kabisa. Watu wengi wameweka ndani makahaba bila kujua, na mtashangaa sana mahusiano ya kisasa yalivo na misukosuko.

Obrigado.
Sawa waache wenzio wawatunze haohao makahaba walowaoa.
 
Nashauri mwanamke wako muhudumie!!
Watamla usipo muhudumia na hata ukimuhudumia watamla vile vile!! Asante 😳😳

Aliyekuambia kumhudumia Mwanamke ndio kumzuia asiliwe ni Nani?
Ni Mwanaume mjinga na mshamba anayehudumia Mwanamke Kwa kuogopa kuchapiwa..

Ahudumie kama ni Mkewe, hiyo ndio pointi. Kama hajaoa basi anunue Huduma kama anavyofanya kwenye Huduma zingine. Akiwa na shida atoe Pesa.
 
Shida ya hili swala la huduma limekua pna sana, usipoangalia hutafanya la maana. Wamekua wakitaka huduma kubwa sana. Hakuna mwanaume hatakai kumhudumia mwanamke wake, shida ni kwa kiasi gani kulingana na kipto?

Ndoto ya kila mwanaume ni kuwa na mwanamke kama wa yatapita ya chibu. Binti aliletewa vigauni vya bukubuku na akaridhika maskini. Hili humpa nguvu sana mwanaume ya kukupa tena. Ila shida yao hawaridhiki
Alafu mbususu hawatoi ndio shida iko hapo.
 
Wadau hasahasa wanaume, kuna utamaduni ambao kimsingi binafsi naona umechangia kwa kiasi kikubwa sana matatizo ya mahusiano.

Kuna kitu wanawake wanaita 'pesa ya matunzo' au 'huduma' na majina mengine mengi.

Wanaume wengi wameingia kwenye huu mtego hasa wakiwa na kahela hata kadogo anaona ni jukumu lake kumhudumia mwanamke ambae naye anapaswa kufanya kazi na kujitafutia, hili jambo limepelekea wanawake kujihusisha na ukahaba na umalaya.

1. Mapenzi ambayo ni yanahusisha miamala, yaani transactional relationship ni biashara tayari.

2. Pale mwanaume anapokosa riziki, au kufulia, suala la kugongewa linakuwa karibu kabisa naye sababu mwenzie alishazoea maintenance. Kwahiyo ataangalia option nyingine huku wewe ukitaabika na stress.

Nilibahatika kidogo kuishi na tamaduni kadha wa kadha, lakini niligundua kuna baadhi ya tamaduni hawaendekezi huu upuuzi.

Pesa haitolewi bila kazi ya msingi. Sasa mwanaume jiulize hiyo pesa unaitoa kwasababu tu ni mwanamke au kwasababu ya huduma gani?

Mwisho kabisa. Watu wengi wameweka ndani makahaba bila kujua, na mtashangaa sana mahusiano ya kisasa yalivo na misukosuko.

Obrigado.
Ova
 
Demu unanunua Huduma Kwa rejareja, tena siku ukiwa na shida nayo.
Vijana wapewe mafunzo. Waache ushamba.
Kabla hajawa mke wako ulikuwa humhudumii 😁😁😁😁😁 Yani mnaongea as if unaenda kuchukua mke yupo dukani , wakat ukiwa kwenye mchakato wa kumfanya mke hapo zinakutoka na lolote laweza kutokea kwenye huo mda , hapa ndo nashauri vijana kuachana na hii slogan ya mpenz wangu wa mda mrefu mana mwisho wake ni maumivu , kama umemuelewa demu miez sita au mwaka mmoja hakikisha anakuwa mke ili uhudumie kihalali , hii ya kusema mpenz wangu mpenz wangu utastukia demu kakwapuliwa na mwamba na kuwekwa ndani ndo utajua hujui
 
Uhudumie usihudumie, ukubali ukatae, hakuna mwanamke asiyetoka nje ya ndoa, kikubwa ni kuvumiliana kama ambavyo, hakuna mwanaume asiyetoka nje ya ndoa.
Sikila mwanaume anatoka nje ya ndoa. Kuangaishana na wanawake nikitu kigumu sana sikila mwanaume anaweza na ngono ukishajielewa unaona hamna jipya. Siwezi wasemea wanawake ila sikila mwanaume hutoka nje ya ndoa, umekuja mwenyewe duniani utatoka mwenyewe pia, jisemee wewe.
 
Back
Top Bottom