Ogopa mwanamke anayevaa dera

Ogopa mwanamke anayevaa dera

Kabisa, mavazi hu reflect inward behaviour ya mtu

Tena ukute kale kaembamba, vichuchu saa sita kameshikilia dera kwa mkono mmoja? Maweee!!!!! Mcharuku ++

Unaokota hako unapeleka nyumbani eti umepata kitu saasiti🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️Hakuna rangi utaacha kuiona

Subiri mdundiko upite au jirani kuwe kuna hizi ngoma za vigodoro ndio utaujua vizuri mzigo ulio nao ndani
 
Amekupiga show ya kibabe au? Ndio zao hao,Hawapotezagi mechi,Pole sana bro.

Kabisa, mavazi hu reflect inward behaviour ya mtu

Tena ukute kale kaembamba, vichuchu saa sita kameshikilia dera kwa mkono mmoja? Maweee!!!!! Mcharuku ++
Juu ya yote hawavai chupi !!
 
Utajisikiaje mke wako yuko barabarani hajavaa chupi yuko na mdera wake !
Bahat nzuri mimi siwezi kujisikia kitu maana nakuwa nimeshakufa kumwona vile!
Ila nawashaur wanaume tunaotoka mikoa isiyo ya mwambao usirogwe kujihusisha kindoa mwanamke mswahili! Mila zao ndo changamoto kabla ya tabia binafs.
Ila mwanamke mswahili ana faida sana kuolewa na mwanaume wa bara!
Sijui kwanini dar ikajikuta iko kwenye eneo hili!
 
Back
Top Bottom