Punguza basiKama pesa unazo ni unazo tu mkuu,na kama huna huna tu....hazivutwi kichawi
Acha ushirikina fanya kaziSalaam wanajukwaa
Hii mada itawahusu wapanda daladala watu ambao bado tunajitafuta ( wenye magari yenu hatutaki ujuaji )
Unapo panda daladala mfano umekaa na mtu, alafu kondakta akaanza kuchukua hela, mfano mnapoenda nauli ni miatano, sasa wewe ukatoa miatano alafu jirani yako akatoa buku alafu akasema naomba hiyo miatano alafu akampa konda buku.
Ogopa sana hii kitu, na pia ndio maana watu wanashauri hela unayotoka nayo nyumbani kwenda kwenye mihangaiko iombee sana.
Humu kwenye madaladala kuna mambo mengi sana ya kishirikina
Nawasilisha;
Ndio maana umewataka wenye magari wasiongee.
Hapa hata wapanda daladala wenzako hatujaambulia chochote
Imani za kijinga na kimaskini.Salaam wanajukwaa