Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa akili hii utapata shida sana, hela ni kitu ambacho kinabadili mikono sana, yaani inatoka mkono huu kwenda mwingine.. sasa utaombea hela zote.. ingekuwa hivyo ungetengeneza hela zako.Salaam wanajukwaa
Hii mada itawahusu wapanda daladala watu ambao bado tunajitafuta ( wenye magari yenu hatutaki ujuaji )
Unapo panda daladala mfano umekaa na mtu, alafu kondakta akaanza kuchukua hela, mfano mnapoenda nauli ni miatano, sasa wewe ukatoa miatano alafu jirani yako akatoa buku alafu akasema naomba hiyo miatano alafu akampa konda buku.
Ogopa sana hii kitu, na pia ndio maana watu wanashauri hela unayotoka nayo nyumbani kwenda kwenye mihangaiko iombee sana.
Humu kwenye madaladala kuna mambo mengi sana ya kishirikina
Nawasilisha;
kwani unafikiri uchawi ni kukuletea utajiri? uchawi ni kukufanya uwe masikiniimani zakijinga tu!,kama hizo nguvu zingekuwepo nani angeukumbatia umaskini..?
ningewanga mpk niwe tajiri no moja duniani...😂
Kimekukuta nn mkuuSalaam wanajukwaa
Hii mada itawahusu wapanda daladala watu ambao bado tunajitafuta (wenye magari yenu hatutaki ujuaji )
Unapo panda daladala mfano umekaa na mtu, alafu kondakta akaanza kuchukua hela, mfano mnapoenda nauli ni miatano, sasa wewe ukatoa miatano alafu jirani yako akatoa buku alafu akasema naomba hiyo miatano alafu akampa konda buku.
Ogopa sana hii kitu, na pia ndio maana watu wanashauri hela unayotoka nayo nyumbani kwenda kwenye mihangaiko iombee sana.
Humu kwenye madaladala kuna mambo mengi sana ya kishirikina.
Nawasilisha.
Vipi kama mimi ni muuza maji na kwa dilisha la hiyo daladala, hiyo mia tano ndo napewa kulipia maji, niiache?Salaam wanajukwaa
Hii mada itawahusu wapanda daladala watu ambao bado tunajitafuta (wenye magari yenu hatutaki ujuaji )
Unapo panda daladala mfano umekaa na mtu, alafu kondakta akaanza kuchukua hela, mfano mnapoenda nauli ni miatano, sasa wewe ukatoa miatano alafu jirani yako akatoa buku alafu akasema naomba hiyo miatano alafu akampa konda buku.
Ogopa sana hii kitu, na pia ndio maana watu wanashauri hela unayotoka nayo nyumbani kwenda kwenye mihangaiko iombee sana.
Humu kwenye madaladala kuna mambo mengi sana ya kishirikina.
Nawasilisha.
Hela uiombee sana kwa nani? na ili iweje?
Hebu acha ushirikina mkuu
unyumbu sasa huo!kwani unafikiri uchawi ni kukuletea utajiri? uchawi ni kukufanya uwe masikini
Numbisa kumbe ndivyo ulivyo eeeh...? Sawa.Duh aiseee