Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Ulichoandika ni Perfect, na nakupa point best wangu.Kama pesa unazo ni unazo tu mkuu,na kama huna huna tu....hazivutwi kichawi
Kagame ndy kwqnza anawanyoosha wakata mauno wale GENTAMYCINEUlichoandika ni Perfect, na nakupa point best wangu.
Kijana mdogo anaamini ujinga. Congo inasemekana kuwa na wachawi wengi katika bara la Africa , lakini ndio nchi masikini kuliko nchi yoyote hapo EAC.
Ingekuwa hiki anachoamini mleta mada ni kweli, basi saa hizi wachawi wa Congo wangekuwa wameshaiteka Rwanda na kumgeuza Kagame msukule.
Huu ni uchiiji wamotooSalaam wanajukwaa
Hii mada itawahusu wapanda daladala watu ambao bado tunajitafuta (wenye magari yenu hatutaki ujuaji )
Unapo panda daladala mfano umekaa na mtu, alafu kondakta akaanza kuchukua hela, mfano mnapoenda nauli ni miatano, sasa wewe ukatoa miatano alafu jirani yako akatoa buku alafu akasema naomba hiyo miatano alafu akampa konda buku.
Ogopa sana hii kitu, na pia ndio maana watu wanashauri hela unayotoka nayo nyumbani kwenda kwenye mihangaiko iombee sana.
Humu kwenye madaladala kuna mambo mengi sana ya kishirikina.
Nawasilisha.
Waafrika, tumejengwa kwenye imani za kuamini kuwa hali zetu ni matokeo ya nguvu fulani kutoka kwa watui wengine.imani zakijinga tu!,kama hizo nguvu zingekuwepo nani angeukumbatia umaskini..?
ningewanga mpk niwe tajiri no moja duniani...😂
Siku moja moja uwe unatumia Bolt, hampandi wengiSalaam wanajukwaa
Hii mada itawahusu wapanda daladala watu ambao bado tunajitafuta (wenye magari yenu hatutaki ujuaji )
Unapo panda daladala mfano umekaa na mtu, alafu kondakta akaanza kuchukua hela, mfano mnapoenda nauli ni miatano, sasa wewe ukatoa miatano alafu jirani yako akatoa buku alafu akasema naomba hiyo miatano alafu akampa konda buku.
Ogopa sana hii kitu, na pia ndio maana watu wanashauri hela unayotoka nayo nyumbani kwenda kwenye mihangaiko iombee sana.
Humu kwenye madaladala kuna mambo mengi sana ya kishirikina.
Nawasilisha.
Ndio hawa wanaowashauri Yanga na Simba waingie kinyume nyume taifaKwahiyo konda akikwambia mpe hiyo 500 jirani yako utagoma?
Unapata UkichaaUmaskini ukiuchanganya na ushirikina inakuwa combination moja deadly sana.
Hakika broUlichoandika ni Perfect, na nakupa point best wangu.
Kijana mdogo anaamini ujinga. Congo inasemekana kuwa na wachawi wengi katika bara la Africa , lakini ndio nchi masikini kuliko nchi yoyote hapo EAC.
Ingekuwa hiki anachoamini mleta mada ni kweli, basi saa hizi wachawi wa Congo wangekuwa wameshaiteka Rwanda na kumgeuza Kagame msukule.
Correct. Mwafrica na ushirikina ni nduguimani zakijinga tu!,kama hizo nguvu zingekuwepo nani angeukumbatia umaskini..?