cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Una point lakini umeandika kifupi sana hadi imepoteza utamu.
Andika wewe..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una point lakini umeandika kifupi sana hadi imepoteza utamu.
Niandikeje sasa!Andika wewe..
Sana mkuu ndivyo hilivyo.Mahusiano always yanaendeshwa na control ya mwanaume.
Ukiruhusu mwanamke kutake control kwa kuogopa atakufikiriaje utapata shida sana mkuu[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
HakikaNi kweli mkuu ila sio wanaume wote wana Guts! Ukiweza kujisimamia ukamuonesha mkeo kuwa hata asipokuwepo huathiriki hapo ndipo utapojijengea heshima kubwa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakuta k imevurugwa haswa...
Mzee umechapiwa nn mbona makasiriko hivyoHahahah hebu cheki hii mkeo anavyoomba ruhusa ili akajinafasi na mjuba Co-worker ambaye wana crush ili wakalane vizuri!
We unaagwa anaenda kwenye birthday ya Millen amepitiwa home na Suzy kumbe wameachania Samaki Samaki. Suzy kamuacha mkeo na Alfred huku Suzy naye Kaenda kwa Kelvin amekuwa picked Mlimani kapelekwa kwenye apartment Masaki huko.
Hawa mashosti wakirudi saa 11 home full kulegea yani we umelala unajua wife katoka birthday kwa rafiki yao Millen kumbe katoka kuuza utu Lion Hotel! Unapewa unapiga unalala bila kujua A,B wala C!
Kuweni makini sana na wake zenu wenye mashosti. Theres alot going between huo ushosti! Ni muungano flani wa kufichiana maovu.
Shida ya kuoa slay queens hiyo. Maana hapo ukimsema kurudi alfajiri atakwambia tulikutana alfajiri utabaki kutoa macho.
Ila mke ambaye sio kawaida yake hawez kuaga ghafla eti arudi saa 11 alfajiri. Huyo ndio zake kutoka kurudi usiku na usikute anabadilishana na mumewe
HahahaYani mke wako anarudi saa 11? Na unafungua mlango.
Na ww ndo tabia zako sioSio wote.. wengine hatua wanafanya wenyewe.. hii inadumu sanaaa.. Pole, umejuaje haya?
Wazee wivu na mbususu ya mashetani wapi na wapi.Hahahah hebu cheki hii mkeo anavyoomba ruhusa ili akajinafasi na mjuba Co-worker ambaye wana crush ili wakalane vizuri!
We unaagwa anaenda kwenye birthday ya Millen amepitiwa home na Suzy kumbe wameachania Samaki Samaki. Suzy kamuacha mkeo na Alfred huku Suzy naye Kaenda kwa Kelvin amekuwa picked Mlimani kapelekwa kwenye apartment Masaki huko.
Hawa mashosti wakirudi saa 11 home full kulegea yani we umelala unajua wife katoka birthday kwa rafiki yao Millen kumbe katoka kuuza utu Lion Hotel! Unapewa unapiga unalala bila kujua A,B wala C!
Kuweni makini sana na wake zenu wenye mashosti. Theres alot going between huo ushosti! Ni muungano flani wa kufichiana maovu.
Hahaha utaishia segerea mkuuu bora ubaki single tu maisha ya jela sio poa kabisaSiku nikichapiwa vyombo vya habari vyote vitawajulisha
HahahaTafuta Wadada Wa Kilimanjaro Uepuke Kadhia Ya Kuishi