Wakuu mnisamehe,ukweli NI kwamba Mimi NI mgumu Sana kuamini maneno ya watu hasa kuhusu uzushi Fulani.
Kilichonileta hApa NI kuwa nilikuwa nabishana Sana na washkaji zangu kijiweni kuhusu wadada wanaovaa vikuku,nikikuwa nikiwatetea Sana kuwa "uvumi maarufu" kuhusu wao siyo kweli.
Basi wiki iliyopita katika pitapita zangu na Mimi nikajipatia mvaa kikuku aliyeonesha kunipenda Sana. Kumbe Wala hakunipenda alikuwa ananipetipeti ili niyatimbe.muda wa kuwa faragha Kinga zilitumika na nilienjoy Sana kusema kweli, na sikupitishwa barabara ya vumbi Kama inavyosemekan mitaani...kilichonileta hApa nikiwa na uchungu mkubwa NI kwamba manzi alikuwa ni mwizi ...kiufupi tulikuwa gesti lakini msala alioniachia ndo umeniuma Sana, tulilala usiku ,mimi nililala usingizi mzito sanA!nimekuja kushtuka saa mbili asubuhi nikiwa peke yangu chumbani bila simu yangu,laptop , wallet na ka TV kadogo Cha pale gesti..ilikuwa msala sanA ikabidi nishikiliwe kwa ajili ya TV ya gesti,nilikuwa na namba ya mshkaji wangu mmoja kichwani , huyo ndo alikuja kumaliza Soo pale ,tukalipa TV na kuondoka. Ila Mimi nimekula hasara ya kutosha..simu laptop na vijisenti vyangu vimeondoka,hivyo kuhusu wavaa vikuku Mimi naongezea kuwa wale siyo watu Bali mashetwani😠😠