Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngoja tumuulize mleta mada...... Mchawi mwandamiziTv au kishikwambi?
Si ndio hapoKuna wanawake wasio na hivyo vyote ila wanakitombesha km kuku
🤣🤣🤣🤣 Nimecheka mpk naonekana nimechanganyikiwa dah.!!Wakuu mnisamehe,ukweli NI kwamba Mimi NI mgumu Sana kuamini maneno ya watu hasa kuhusu uzushi Fulani.
Kilichonileta hApa NI kuwa nilikuwa nabishana Sana na washkaji zangu kijiweni kuhusu wadada wanaovaa vikuku,nikikuwa nikiwatetea Sana kuwa "uvumi maarufu" kuhusu wao siyo kweli.
Basi wiki iliyopita katika pitapita zangu na Mimi nikajipatia mvaa kikuku aliyeonesha kunipenda Sana. Kumbe Wala hakunipenda alikuwa ananipetipeti ili niyatimbe.muda wa kuwa faragha Kinga zilitumika na nilienjoy Sana kusema kweli, na sikupitishwa barabara ya vumbi Kama inavyosemekan mitaani...kilichonileta hApa nikiwa na uchungu mkubwa NI kwamba manzi alikuwa ni mwizi ...kiufupi tulikuwa gesti lakini msala alioniachia ndo umeniuma Sana, tulilala usiku ,mimi nililala usingizi mzito sanA!nimekuja kushtuka saa mbili asubuhi nikiwa peke yangu chumbani bila simu yangu,laptop , wallet na ka TV kadogo Cha pale gesti..ilikuwa msala sanA ikabidi nishikiliwe kwa ajili ya TV ya gesti,nilikuwa na namba ya mshkaji wangu mmoja kichwani , huyo ndo alikuja kumaliza Soo pale ,tukalipa TV na kuondoka. Ila Mimi nimekula hasara ya kutosha..simu laptop na vijisenti vyangu vimeondoka,hivyo kuhusu wavaa vikuku Mimi naongezea kuwa wale siyo watu Bali mashetwani😠😠
😂😂😂Sasa uchawi wako umekusaidia nini
😂😂😂 Huyo jamaa kanichekesha sana alichokutana nacho, hataki tena kuwasikia wavaa vipini na vikukuDah nimelia sana 😂
Mm c ndo maana nmekuchagua ww huna mambo mengi kwenye mwili wako 😍😂😂😂 Huyo jamaa kanichekesha sana alichokutana nacho, hataki tena kuwasikia wavaa vipini na vikuku
😂😂😂 JidanganyeMm c ndo maana nmekuchagua ww huna mambo mengi kwenye mwili wako 😍
Eh kwahy tukiwa tunafanya dog style Huyo dragon atakuwa kama ananizomea hv eee😂😂😂 Jidanganye
Nna bonge la tattoo la dragon shingoni na vipepeo wa kutosha
Ufanye na nani??Eh kwahy tukiwa tunafanya dog style Huyo dragon atakuwa kama ananizomea hv eee
Akili zao huaga zinakuaga hazina akili...
We jamaa wewe! 😆😆Matembele/SalivaFront
😆😆 Nilale sasa daah!Sasa uchawi wako umekusaidia nini