GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna Mpuuzi Mmoja nimemsikia ( kwa sasa nimemsahau Jina ) akisema tena kwa Kufurahia na Kuwapongeza Wenyeji kuwa wamepokelewa vyema.
Na kwa tunaowajua vyema Waarabu ( hasa Timu zao ) ukiwa ni Mgeni ukienda huko huwa Wanakukarimu mno na wala hawakufanyii Fujo, ila Shughuli yao utaiona Siku yenyewe ya Mechi ndani na nje ya Uwanja ambapo hutoamini kama ndiyo wale wale waliokupokea vyema hadi Ukawasifia kutokana na Ushamba ( Umbwiga ) wako wa Kutowajua Waarabu na hata Kutokuwahi Kusafiri Nje ya Tanzania.