Ogopa sana ukienda Kucheza Ugenini tena kwa Waarabu halafu ukapokewa vizuri kwani huo huwa ni Mtego

sasa mbona ni kitu kilekile amesema?
Na wewe acha kuwa mbishi bhana! Uzi wake wa Septemba, alisema hao Waarabu koko wa Sudan, wana tabia ya kuwapokea wageni kwa fujo, ukatili na takataka nyingine.

Na kwenye huu uzi wake hapa, anajikosha kwa kutoa onyo kwa timu zinazo polewa vizuri na hao Waarabu! Na hapa ni baada ya Yanga kupokelewa vizuri bila shaka!

Sasa kwa muktadha huo, huoni tu kama huyu Popoma anajichanganya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…