Ogopa Teknolojia: Nimeweka mkataba wa bandari kwenye Chat-GPT, Imejibu kwamba bandari zitakuwa za DP World Milele!

Hayabana
Uzeni kila kitu kwa jina la uwekezaji.

Kuna kabwawa kangu ka kuogelea nataka kujenga bandari ndogo ya vimashua vya watoto.

Nayo najua mtaiuza. Loh
Mradi ni kibandari, tutakuonesha namna ya kutengeneza pesa, havitusumbui vibandari vya watu binafsi, hivyo tunaweka tunawauzi Waarabu wenye fedha za kuweka mahoteli yeenye hadhi, kama vile tulivyowauzia The Kilimanjaro, wakaifyatuwa fyatuwa wakaifanya The Kilimanjaro Kampinski, si unaona ilivyopendeza na inavyoiletea sifa nchi?

Unamjuwa mwenyewe nani ile? Aliibeba akaondoka nayo? Au kaiboresha? Sasa serikali inapiga hela pale kiulaini, na tulivyokuwa tunaiendesha yenyewe kila kitu kikawa nyang'anyang'a. Hasara ytupu, watu wanaiba mpaka foronya, wanaiba mpaka mavi ya wageni wanakwenda kufanyia ushirikina, sijuwi mganga kamwambia leta mavi ya zeruzeru, ukikosa hata ya mzungu yanafaa.

Unafikiri wengi kwenye hii nchi wanajuwa kuzitumia akili zao vizuri? Wanaburuzwa tu kama makondoo, mradi Padri Slaa kasema, hata kama ni bomu lile, makondoo mnafata tu.


Ndivyo hivyo kwenyte bandari. h
 
Sidhani kama anahusika na hili sakata la kijambazi la DP World
Hakuna ujambzi, sakata la bandari mimi nalifananisha na Kilimanjaro Hotel, ilikuwa hivi hivi. Sasa faida inayoingiza kwa nchi, ni nani ananyayuwa mdomo?

Watanzania wengi wameaminishwa wao ni kondoo na wamelikubali hilo. Sijuwi wewe ni kondoo pia?

AlhamduliLlah Waislam tumeambiwa wote ni wachungaji.
 
Mimi si mtaalamu sana, lakini kama mambo yako hivi, basi hatuna viongozi wa kutegemewa na wananchi , bali ni wauza wananchi na nchi yao.


Sasa wanachopambana kupinga ni kitu gani?

Hivi wale wabunge waliopelekwa uarabuni walikuwa na kazi gani kule?
Wewe wanakudanganya hao. Kwanza GPT hana jibu lolote la kuanzia mwaka 2020. Majibu yake yanaishia 2021. Mpaka itakaporeshwa siku za usoni.

Hawa watu wanadanganya watu watu tu. Fata link chatGPT huyo hapo, bofya chini, wewe usiogope andika kwa lugha yoyote anakujibu, jisajii uanze kutumia:

 
Wewe ni muongo wa kutupwa. CHAt GPT mwenyewe anasema hana majibu baada ya 2021. Sasa huo mkataba wako ulioupandisha tarehe zake ni zipi?

Halafu CHatGPT anasema wazi, hana majibu ya kila kitu, mengine hayana ukweli.

Hivi uongo unawasaidia nini? Au ndiyo mnalipwa kusambaza uongo?
 

Nashukuru kwa hiyo link.
 
Mi nafurahia utter freedom in this country. In this country there is absolute freedom of expression. Ukiwa huna hata senti tano mfukoni uko huru kusema kwamba serikali haijakusaidia kitu chochote.
 
Nilichogundua mktaba huu ukisikiliza wakozoahaji una shida kbsa ila ukisikiliza watetezi yaani upande wa serekali Huna kosa prof akiuelezea[emoji847] mktaba huu unaelewa ila ukirudi kwa lisu na Dr slaa unaona Wana hoja ya msingi
 
Mama ana tatizo kwenye English lkn hamfikii jiwe. Jiwe yeye hakuwa na tatizo bali alikuwa hajui kabisa kiinglish
Unaongea kama jitu moja cenge tu lisiloelimika kwenye issue ambayo ni muhimu kwa uhai wa taifa letu.
Kama jiwe alikuwa hajui kiinglish unadhani alijuaje madudu yaliyokuwa kwenye mkataba wa bandari ya bagamoyo uliosainiwa na yule jamaa wa kujichekelesha?
Pamoja na matatizo yake ya kibinadamu, lakini ukweli ni kwamba Mr stone was a smart guy. Huwezi kumlinganisha ni hizi takataka nyingine.
 
Tena maarabu mapagani kabisa, mazinzi na wanyea waafrika mdomoni
Sasa wewe punguani unashamgaa anaekunya,humshangai aliyejigeuza choo cha kunyewa?

Huo ni upunguani wa hali ya juu.
 
Sasa wewe punguani unashamgaa anaekunya,humshangai aliyejigeuza choo cha kunyewa?

Huo ni upunguani wa hali ya juu.
Wewe ni punguani mwenzangu huna lolote🤣🤣🤣
 
Umeliwa na TICTS miaka 22 ilikuwa tamu? Hata kuguna ulishindwa, ya w-Waarabu ndiyo chungu?

Agenda mliyonayo tunaifahamu, hayajaanza leo hayo.

Kazi ya Mungu haina makosa.

DP World hoyee.
Na Mungu sio Athumani
Mungu sio FaizaFox Wahed
 
Sidhani kama anahusika na hili sakata la kijambazi la DP World
Aah bana sikishasamehe kafanywa laana abebe dhambi zote. Sasa hata wakiiba hawana dhambi, kazibeba huyo mbabe dhambi zote, au umesahau?
 
Ama kwa hakika nchi imeuzwa.Na wakubwa wetu wanavyoshindana kuutetea utadhani wapo mbioni kuhama nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…