Ogopeni: Lilian Garden Bar Mikocheni

Ogopeni: Lilian Garden Bar Mikocheni

Hiyo ndio raha ya baa. Kinachotakiwa ni wewe mnywaji kuwa makini. Mhudumu mwenyewe mshahara wake hauzidi shs 20,000 kwa mwezi unadhani wanaishije? Mbona mnawatomasa tomasa ****** na matiti hawasemi? Si mnaona raha kutomasa? Wewe mshikeshike mara mbili tatu uone kama hataleta bili zaidi na kwa kuwa mlishajenga urafiki kwa wewe kumtomasatomasa utalipa tu. Ndio raha yake

SIO LAZIMA UTOMASE NDIO UTOE HELA MKUU!!!WENGINE MANENO TU YANATOSHA
POLE YAKO ULIEIBIWA!!!!
 
Ungekuwa hunywi hayo yote yasingekukuta. Kunywa tu lakini utajibu siku ikifika.
 
Ungekuwa hunywi hayo yote yasingekukuta. We kunywa tu lakini siku ya fainali ndo utajua kwa nini inaitwa pombe.
 
Sitting Room

attachment.php




Royal Pub....Hapa hapana wizi ukiwa ni mtoa tipu....

attachment.php


attachment.php




Kujinafasi..
attachment.php


 

Attachments

  • Royal Pub.JPG
    Royal Pub.JPG
    37.4 KB · Views: 153
  • Royal Pub2.JPG
    Royal Pub2.JPG
    42 KB · Views: 154
  • Edwin Taxi driver.JPG
    Edwin Taxi driver.JPG
    40 KB · Views: 162
  • Kijiwe cha home-small.JPG
    Kijiwe cha home-small.JPG
    42.9 KB · Views: 166
Ungekuwa hunywi hayo yote yasingekukuta. We kunywa tu lakini siku ya fainali ndo utajua kwa nini inaitwa pombe

kibiongo si tu lazima ule unaweza ukala hata chakula chao yakakuta pia!!!wazo muhimu
ni kulipa na kula ama kunywa!!1
 
lingine hawa wenye kumiliki bar ama migahawa wanatakiwa waheshimu wateja wao viginevyo watakimbiwa ,hata kama nimevsaa migagulo once nikiwa hapo m ni mfalme wako !!!kila la kheri
 
lingine hawa wenye kumiliki bar ama migahawa wanatakiwa waheshimu wateja wao viginevyo watakimbiwa ,hata kama nimevsaa migagulo once nikiwa hapo m ni mfalme wako !!!kila la kheri

Mama Mia mfalme tena ooops?
Huwa wanaamini mteja ni mwanaume, mwanamke sio. Nashangaa watu wa sosholojia hawajaandikia hii mada
 
Wandugu,

Sehemu ingine hatari sana kupigwa panga ni Makuti- Iko Stend Mabasi Msamvu Morogoro. Kwa vile wengi wanaoend apale ni wasafiri basi wahudumu hupiga panga la nguvu na hata management wanafahamu. Nilienda Moro- tulikuwa tunarudi Dar- basi tulikuwa watu wanne- tukapitia asb kupata supu. Bili tuliyoambiwa na kijana mmoja wa Kichaga.. Supu ya Mbuzi 3000, Redbull 3000, Maji 500, Mtori 2000.. nk. Basi tukalipa kama 24,000 jumla na kuondoka.
Bahati nzuri\mbaya nikapata dharura kuwepo tena Moro siku ile- nikaahirisha safari. Nikarudi kwa lunch Makuti. Nakaagiza mchemsho wa samaki nikaambiwa na kijana yule yule samaki wameadimika hivyo ni 7,000. Wakaleta samaki nikalipa. Bahati mbaya samaki hakuwa mzuri... nikamrudisha.
Basi meneja akaja kuniuliza kulikoni nimerurisha samaki? na nimeshalipa? Nikasema 7,000 nimelipa tayari. Basi akasema samaki 5,000!
Nikauliza bei zingine.. mtori 1000, Supu 1500, Redbull 2000.

Nikapiga mahesabu nikagundua yule muhudumu alikata panga la 8,000 kwetu tu tangu asb!
Nikacharuka.. basi meneja akanirudishia 8,000 ananiomba yaishe kwa kuwa yule kijana alishakimbia! Basi nilikuwa na haraka ya kazi sikuweza kufuatilia zaidi.

Ukweli ni kuwa wizi\ufisadi upo katika kila nyanja...na wengi wetu tunaibiwa bila kufahamu!

High time kuwa makina zaidi- ila Makuti-Msamvu Stend ya Moro mabasi kwa kupigwa panga hapa ni hatari zaidi!

Kuna wateja wengine wanne nao walilalamikia huu wizi!
 
Pombe ina tatizo gani?

Haina tatizo iwapo ikiinywa kwa kiwango kizuri (3 bottles). Zaidi ya hapo inapunguza thinking capacity yako ya kufanya maamuzi. Ndo maana unakuta mtu anaweza kupata baya lolote maana akili ile ya kibanadamu imepunguzwa na pombe. Pole kwa wasioimudu.
 
Haina tatizo iwapo ikiinywa kwa kiwango kizuri (3 bottles).
Natumai hapa una maana ya Bia/Wanzuki/Kindi/Mbege na taputapu zingine.... Lakini sio Whisky/Wine/Tende/Spirit n.k
 
Hata maji tu ya kawaida ukinywa mengi pia yana madhara......ushawahi kusikia mtu kafa kwasababu ya kunywa maji mengi?? kama mbado kusikia, basi habari ndio hiyo...

Asante kwa habari, inaeleweka hata chakula pia kinaweza kukupa balaa iwapo kitazidi. Ila pombe hupunguza THINKING AND DECIOUS MAKING CAPACITYhio ndo ilikuwa idea kuu. Upo hapo.....
 
Wakuu kila kitu kinatakiwa kiwe consumed in moderate. Chochote kile kikiwa consumed beyond moderation basi lazima kuwe na madhara. Now suala la pombe ni rahisi sana kulinyooshea kidole kwa sababu liko obvious, lakini nafikiri pia tuangalie watu wanaopata obesity kutokana na matumizi mabaya ya vyakula. Unakuta mtu anaagiza nyama choma, au kiti moto sinia zima. Kama sio kutafuta clogged arteries na magonjwa mengine ni nini? Na the same goes to wale wanaojinyima chakula ili waweze kukeep figure na kuingia kwenye nguo zao wanazozipenda. Matokeo yake wanakuwa anorexic..Matokeo (end results) ya yote haya niliyoyataja ni kifo. Lengo halikuwa kutoka kwenye topic ambayo ni kuwa careful unapoenda Lilian Bar, lakini nafikiri since Tanzania is a free society, people are entitled to do whatever they want to if they have the resources. Kutokana na tamaduni za nchi yetu, ku socialize bar na marafiki nafikiri ndio namna ya ku kill muda especially siku za weekend. In short kama ukitokea ukaenda out...kuwa mwangalifu (keep count of your tab), usipende sifa (e.g lete "kama tulivyo", au "natoa offer kwa kila mtu") kama huwezi ku back maneno yako na resources mfukoni. Treat all those who serve you and your buddies with RESPECT. Hapa U.S. hushiki waitress, au bar tender..hiyo ni Sexual harassment na utashitakiwa na utafungwa. Kama mna mipango yenu ni baada ya kazi, na wako very professional japokuwa wengine wanavaa vitu (uniforms) ambazo zina leta temptation, lakini hata siku moja hawakai kwenye meza na mteja wakaanza kunywa nae, hata kama hakuna wateja wengine. They can drink only baada ya kufunga biashara.
Vile vile...kama umepata huduma nzuri....please show it...toa TIP...tuacheni ubahili! You will be amazed when you go back there again.
 
Ama kweli wewe mawazo yako muflisi!! Hicho ni kinywaji kikongwe, hata mitume walikitumie....bila pombe hii dunia itaacha kulizunguka jua!😀
Pombe inapunguza nguvu za kiume
 
Back
Top Bottom