Mjukuu wa majangili nisikize wakinga pia tuna makosa mengi toka kwa wazee wetu kama mauchawi ,makafara ila hawakuumiza wasio wakinga ... wewe unaonekana teenager hujajua madhara ya hao great grand father wako enzi za 80's kulikuwa hakuna benk mawilayani wafanyabiashara tulikuwa tunatembea na cash ,njian lazima uone namna ya kukwepa wasomali mm personally niliwahi kwenda kuuza soda njombe wakati wa kurudi wasomali wakaomba lift (kumbuka derava alikuwa msomali) tatizo ni waliposimama ni eneo la wanyama wakali halafu jamaa anataka asimame washilikiane na magreat grand father wenzie hakujua nilikuwa na chuma nikamuwekea kichwani hadi naingia iringa mjini NBC ,mimi siwezi kukuchukia wala kukuhukumu kwa rangi yako ila watu sio wanakuonea ila matendo waliyoyashuhudia ya wazee wako yanaamsha uchungu kwa muonekano wako hata marekani wanawachukia sana (i lived there)