Oh Mungu wajalie waja wako, waoe na kuolewa mwaka huu

Oh Mungu wajalie waja wako, waoe na kuolewa mwaka huu

Kabisa Nina ndugu yangu mmoja anatimiza miaka 40 Hana mtoto na hajaolewa yeye mdomo na kulewa tu hovyo namuombea January hii aolewe inshallah 😎 tutafanya party kariakoo
Huyo maombi yaambatane na kilio
 
Kila anayehangaika kupata mwenza ili aoe au aolewe, mwaka huu afanikiwe na sote humu pia tuwasaidie, watimize lengo lao.
Naomba umuweke pia mjukuu wangu ephen_ kwenye haya maombi yako. Maana mwaka wa jana alipata wanaume watatu kwa nyakati tofauti, na wote aliwakataa!!

Wa kwanza alikuwa Msukuma, alimkataa! Wa pili alikuwa ni Mgogo, akamkataa! Wa tatu alikuwa ni Mluguru, na yeye pia alimkataa!! Sasa sijui anataka mwanaume wa aina gani!
 
Naomba umuweke pia mjukuu wangu ephen_ kwenye haya maombi yako. Maana mwaka wa jana alipata wanaume watatu, na wote kawakataa!!

Wa kwanza alikuwa Msukuma, kamkataa! Wa pili alikuwa ni Mgogo, akamkataa! Wa tatu alikuwa ni Mluguru, na yeye naye alimkataa!!
Babu! Mwaka huu nakupa mkwe na mjukuu juu.
 
Naomba umuweke pia mjukuu wangu ephen_ kwenye haya maombi yako. Maana mwaka wa jana alipata wanaume watatu kwa nyakati tofauti, na wote aliwakataa!!

Wa kwanza alikuwa Msukuma, alimkataa! Wa pili alikuwa ni Mgogo, akamkataa! Wa tatu alikuwa ni Mluguru, na yeye pia alimkataa!! Sasa sijui anataka mwanaume wa aina gani!
sawa naomba naye nimuweke kwenye orodha ya wanaume ambao nawatafutia wake sasa nipe sifa anazotaka wanaume wake wawe nazo
 
Back
Top Bottom