fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Kila dalili,hasa za ndani ya uwanja,yanga haiko sawa,inacheza shaghala baghala,wachezaji ni kama wamechoka,kila mtu analalamika.Kwa kifupi yanga haiko vizuri kabisa.Wa kutuokoa ni Mola tu
Angalia maneno yako hayoSisi kufungwa na simba naangusha mzigo kutoka uwanjani kuzunguka zenji nzima.
Alivyoichukua timu na ilivyo sasa tofauti ni ipi mkuu?Ndani ya mechi mbili tatu hizi hata mimi nimeshindwa kuelewa perfomance ya timu.
Sijui ni fatigue ama ni nini ila Pedro alivyochukua timu na ilipo sasa kuna kautofauti kidogo. Ninaamini hata yeye mwalimu ameliona hili na atalifanyia kazi.
Weka dau mezani mzee tusiandikie mate.Angalia maneno yako hayo
Dau la nini wewe toka mbele pale uwaelezee watu kwamba yanayotangazwa ni kweli au sio kweli hujatatuliwa linda na kupanguswa Jicho?Weka dau mezani mzee tusiandikie mate.
Hakuna faida ya matusi zaidi ya kujivunjia heshima kiongozi unaenda mbali sana.Dau la nini wewe toka mbele pale uwaelezee watu kwamba yanayotangazwa ni kweli au sio kweli hujatatuliwa linda na kupanguswa Jicho?
Mzigo upi unaouangusha hapo mpaka Zenji nzima unauzungusha mzigo gani huoni umeficha white haponaangusha mzigo kutoka uwanjani kuzunguka zenji nzima
Angalia maneno yako hayo
Upuuzwe! unashindwa kusoma nyakati.Mzigo upi unaouangusha hapo mpaka Zenji nzima unauzungusha mzigo gani huoni umeficha white hapo
Chizi MaarifaUpuuzwe! unashindwa kusoma nyakati.
Binafsi naona bora tufungwe tu. Yaani hii inatoka ndani ya moyo wangu kabisa. Pengine itafanya tushtuke hakuna tunacho achieve kwenye kuifunga Simba pekee.Kila dalili, hasa za ndani ya uwanja, yanga haiko sawa, inacheza shaghala baghala, wachezaji ni kama wamechoka, kila mtu analalamika. Kwa kifupi yanga haiko vizuri kabisa.
Wa kutuokoa ni Mola tu