historia haichezi mpiraHivi unawajua Yanga likifika suala la derby?
Hao Simba wakiwa na kila kitu walifungwa na Yanga njaa ya akina Zawadi Mauya, na Tshishimbi.
Hapo Zanzibar Simba anafungwa goli mbili na lawama atapHistorisewa Mangungu.
Yanga hanaga mchezo kwenye ishu ya derby
Yanga je haifungwi? Kibu hakuwakanda mbele ya Mayele, aucho, Aziz ki, na wengineo?????Hivi unawajua Yanga likifika suala la derby?
Hao Simba wakiwa na kila kitu walifungwa na Yanga njaa ya akina Zawadi Mauya, na Tshishimbi.
Hapo Zanzibar Simba anafungwa goli mbili na lawama atapewa Mangungu.
Yanga hanaga mchezo kwenye ishu ya derby
Siyo yanga tu hata nchi haipo vizuri kabisa.Kila dalili, hasa za ndani ya uwanja, yanga haiko sawa, inacheza shaghala baghala, wachezaji ni kama wamechoka, kila mtu analalamika. Kwa kifupi yanga haiko vizuri kabisa.
Wa kutuokoa ni Mola tu