Oil price crushes by 30% at the market open

Oil price crushes by 30% at the market open

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
5,222
Reaction score
3,173
Saudi Arabia leo wamesema watapunguza bei ya oil. Hii imesababisha bei ya mafuta kushuka kwa zaidi ya asilimia 30.

Hata wakati wa recession 2007/8 mafuta hayakuwai kufikia bei hii.

Kesho itakuwa siku mbaya ya makampuni kama BP, Shell,Total na kadhalika kwenye soko la hisa!

======

Oil prices crashed as much as 30 per cent within seconds of the market opening on Sunday evening after Saudi Arabia launched an aggressive price war over the weekend, driving crude to its lowest level in four years.

The huge sell-off follows the collapse of Saudi Arabia’s oil-cutting alliance on Friday, with Russia refusing to make deeper cuts to output despite the sharp hit to demand from the coronavirus outbreak. Saudi Arabia’s response — to raise output and offer its crude at unprecedented price discounts — comes despite a weakening economy and the threat of coronavirus becoming a global pandemic sapping demand for transport and fuel.

“It is very rare for a demand collapse to coincide with a supply surge,” said Bob McNally at the Rapidan energy Group. “It is the most crude price-bearish combination since the early 1930s. The price collapse has just begun.”

Brent crude, the international benchmark, dropped from $45 a barrel to $31.52 a barrel in one of the biggest one-day drops in its history, with traders spooked by Saudi Arabia’s decision to launch an effective price war, just days after it was trying to secure a deal with Opec and Russia to reduce production.

US benchmark West Texas Intermediate fell to a low of $30 a barrel.
The sharp drop for oil sent shockwaves through global financial markets. US stock futures tumbled in Asian trading, with the S&P 500 expected to drop 4 per cent when Wall Street opens later on Monday and the FTSE 100 tipped to fall 3.6 per cent. Asia-Pacific equities fell sharply at the open, with Sydney’s S&P/ASX 200 down 4.2 per cent in early trading and on track for the worst one-day fall since the global financial crisis.

10m

Number of barrels per day Saudi Arabia plans to start pumping next month

The dollar dropped half a per cent against its international peers, with the dollar index shedding 0.5 per cent. Japan’s yen rose 1.5 per cent against the dollar to ¥103.72, pushing past the ¥104 for the first time in more than three years, while the euro gained as much as 1 per cent to $1.1394, an eight-month high.

But the currencies of other oil-producing countries were hammered by markets. The Canadian dollar dropped 1.4 per cent and Mexico’s fell 6 per cent against the greenback, while Norway’s Krone fell 3.2 per cent, touching its lowest level against the dollar since 1985, according to Reuters data.

Saudi Arabia, Opec’s de facto leader, is now seen as trying to take on and even punish Russia in a fight for market share, including targeting customers in Russia’s traditional backyard in Europe. A price war will also squeeze other high-cost producers, including hitting the US shale sector whose growth over the past decade first brought Moscow and Riyadh together.

The tactic is reminiscent of Saudi Arabia’s attempt to win back market share in 2014 during the last price war, but this time it comes as demand is seen falling due to the impact of the coronavirus, which has crimped air travel and the wider economy.

Russia declined to cut output last week with one eye on squeezing US shale, which has struggled to turn a profit despite turbocharged growth, with Moscow angry over Washington’s attempts to target Russian energy companies with sanctions. But the aggressive response of Saudi Arabia now risks a severe hit to the Kremlin’s budget.

Saudi Arabia plans to pump more than 10m barrels a day next month while announcing unprecedented discounts of almost 20 per cent in key markets. Production could eventually surpass 11m b/d, one person close to Saudi oil policy said, well above the roughly 9m b/d Riyadh had previously proposed lowering its output to.

The resultant price drop spells trouble for the entire oil industry, which has only slowly recovered from the last price crash between 2014-16, from publicly owned producers in the North Sea, oil majors like Royal Dutch Shell and ExxonMobil, to the oil-dependent states in the Middle East.

Biraj Borkhataria at RBC Capital Markets said that the “massive” drop in oil prices “clearly exposes all of the energy majors”.
“[They] need Brent crude at $50-$60 a barrel to cover their dividends,” Mr Borkhataria added.
While lower prices may provide a mild economic boost for large oil importers that is likely to be largely overshadowed by the impact of the coronavirus, while weaker commodity-dependent countries could find themselves facing huge budget gaps.

Goldman Sachs, one of the most influential banks in commodity markets, on Sunday lowered its price forecast for Brent to $30 a barrel for the second and third quarters, and warned there could be dips to $20 a barrel in the coming weeks.
Prices recovered slightly about 15 minutes into the start of trading, with Brent rising back up to near $35 a barrel, but still down more than 20 per cent on the day.

Some see Saudi Arabia’s move as an attempt to force Russia back to the negotiating table to see if it will now agree to make deeper cuts to production, reigniting the oil-based alliance that has helped support the market since 2016.
But relations between Moscow and Riyadh are now under real strain, and analysts do not see an easy road back to co-operation for the two countries.

“This is a collective suicide with a lose-lose conclusion,” said analysts at FGE, an energy consultancy.

Source: Financial Times
 
Saudi Arabia leo wamesema watapunguza bei ya oil. Hii imesababisha bei ya mafuta kushuka kwa zaidi ya asilimia 30.

Hata wakati wa recession 2007/8 mafuta hayakuwai kufikia bei hii.

Kesho itakuwa siku mbaya ya makampuni kama BP, Shell,Total na kadhalika kwenye soko la hiss!

Tafadhali andika kiswahili tu au kiingereza tu. Umetuchanganya hapo kwenye oil na mafuta.
 
Halafu Coronavirus nayo inavyofanya watu wasisafiri, itapunguza demand ya mafuta.

Demand ya mafuta ikipungua, itasababisha bei kushuka pia.

Sent using Tapatalk
Week iliyopita nilimsikiliza Emilia Kyambadde (Minister of Trade Industry and Cooperatives-Uganda) baada ya kukutana na Magufuli. Aligusia kuhusu bomba la mafuta. Kama nilimwelewa vizuri alisema serikali zetu zinabidi kuwa na shea kwenye hizi kampuni ili wasitulalie!

Nikajaribu kuunganisha dots;
-Total kusimamisha ujenzi wa bomba.
-Tullow kushindwa kuuza shea zake kwa Mchina.
-Tullow bei ya shea kushuka kutoka £2.40 mpaka £0.23 just under six months!
-Na makampuni ya magari yamezidisha production ya Electrical Vehicles!
-Na bei ya mafuta kushuka kila siku.

But Sadly, someone will try to catch a falling knife!

The outlook for EVs is bright, but requires ambitious targets
The number of electric cars on the road reaches 125 million by 2030 under the IEA’s New Policies Scenario. With rising ambitions to meet climate goals and other sustainability targets, as in the EV30@30 Scenario, the number of electric cars on the road could be as high as 220 million in 2030.

Total suspends pipeline deal, to lay off workers
Thursday September 5 2019
The development is a major setback to Uganda’s revised 2023 oil production time line

More:Total suspends pipeline deal, to lay off workers
 
Makampuni makubwa hayataathirika sana kwa sasa kuliko makampuni madogo.

Balance sheets za haya makampuni zinaonesha kwamba zipo resilient kwa sasa na mporomoko wa bei ya mafuta.

Haya yote yametokea baada ya Russia kukataa pendekezo la Saudi Arabia la kupunguza uzalishaji wa mafuta.

Russia anataka kuwaumiza Shale Producers wa US ndo maana amekataa kushusha uzalishaji.

Saudi Arabia akakasirika akasema ataongeza uzalishaji mpaka kufikia 10M bpd. Na pia anatoa discounts kwa nchi za Asia wanaonunua mafuta kwake.

Tutegemee bei kushuka mpaka $20 kwa pipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu Coronavirus nayo inavyofanya watu wasisafiri, itapunguza demand ya mafuta.

Demand ya mafuta ikipungua, itasababisha bei kushuka pia.

Sent using Tapatalk
Corona ndo chanzo cha haya yote.

China ndo alikuwa mnunuzi mkubwa wa mafuta. Alivyopigwa na Corona ununuzi wa mafuta ukaharibika. Sokoni kulikuwa na mafuta mengi kuliko mahitaji. Bei ikaanza kuporomoka.

Saudia akawaita Opec wapunguze uzalishaji, Russia akakataa. Saudia kwa hasira akasema anaongeza uzalishaji.

This is Price war. Watakaoumia sana ni makampuni madogo kwa kuanzia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya yote yametokea baada ya Russia kukataa pendekezo la Saudi Arabia la kupunguza uzalishaji wa mafuta.

Russia anataka kuwaumiza Shale Producers wa US ndo maana amekataa kushusha uzalishaji.
Russia kukataa kupunguza uzalishaji ingeendelea ku drag oil price down bila hata ya Saudi kupunguza bei. OPEC production is high and shale is high = low price.
Na sio mara ya kwanza Russia kukataa kupunguza uzalishaji.
Vile vile Trump amekuwa akisema mara kwa mara opec waongeze production.
Trump calls for OPEC to boost oil production, says price too high
More:Trump calls for OPEC to boost oil production, says price too high
 
babu M, Tunasubiri mpaka sherehe inaisha, chakula watu wanamaliza, vinywaji vinwisha, sisi ndiyo tunaingia kwa kulipa kiingilio kikubwa sana, tunaingia tunakuta watu washamaliza.

Sent using Tapatalk
 
oil1.JPG

kama kuna mtu alilaza buy trade Mungu amrehem huko aliko
 
Russia kukataa kupunguza uzalishaji ingeendelea ku drag oil price down bila hata ya Saudi kupunguza bei. OPEC production is high and shale is high = low price.
Na sio mara ya kwanza Russia kukataa kupunguza uzalishaji.
Vile vile Trump amekuwa akisema mara kwa mara opec waongeze production.
Kwenye oil price, Putin anamsilikiliza Trump.
 
Russia kukataa kupunguza uzalishaji ingeendelea ku drag oil price down bila hata ya Saudi kupunguza bei. OPEC production is high and shale is high = low price.
Na sio mara ya kwanza Russia kukataa kupunguza uzalishaji.
Vile vile Trump amekuwa akisema mara kwa mara opec waongeze production.
Low price of oil boosts China's GDP since most of oil is consumed there.

It's a double edged sword.

Shale producers in US feel the heat, while China's economy flourishes.

Most of Oil producing economies can't meet their budget forecasts.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Low price of oil boosts China's GDP since most of oil is consumed there.

It's a double edged sword.

Shale producers in US feel the heat, while China's economy flourishes.

Most of Oil producing economies can't meet their budget forecasts.

Sent using Jamii Forums mobile app
It seems like another recession is knocking the door this morning.
Ikitokea wiki hii bank yoyote ikaomba msaada wa fedha. Itakuwa ni nosedive
 
Makampuni makubwa hayataathirika sana kwa sasa kuliko makampuni madogo.

Balance sheets za haya makampuni zinaonesha kwamba zipo resilient kwa sasa na mporomoko wa bei ya mafuta.

Haya yote yametokea baada ya Russia kukataa pendekezo la Saudi Arabia la kupunguza uzalishaji wa mafuta.

Russia anataka kuwaumiza Shale Producers wa US ndo maana amekataa kushusha uzalishaji.

Saudi Arabia akakasirika akasema ataongeza uzalishaji mpaka kufikia 10M bpd. Na pia anatoa discounts kwa nchi za Asia wanaonunua mafuta kwake.

Tutegemee bei kushuka mpaka $20 kwa pipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikua hivi,Bei ya mafuta ilikuwa chini Kama dola 60 kwa pipa,nchi za opec zikakutana na kutaka kupunguza uzalishaji ili Bei ipande,,Russia akakataa kupunguza uzalishaji,,Saudi Arabia wakapanick,kwa hasira wakapunguza Bei ya mafuta kwa kuongeza uzalishaji Mara dufu,
Bei ya mafuta ikacrush Jana Hadi dola 30 kwa pipa,
Hapo maana yake makampuni ya mafuta ya marekani inabidi yafunge uzalishaji maana Bei ya Sasa hailipi hata gharama za kuchimba mafuta,
Maana yake Ni kuwa makampuni yatashindwa kulipa mikopo bank na hivyo bank zitacrush ,chain reaction itapelekea soko la hisa la marekani kuanguka juu makampuni mengi yatakua bankrupt maana uchumi wa marekani umebase kwenye petroldollar,
Kwa upande wa Saud Arabia nao kampuni yso aramco hisa zimeshuka thamani kuliko hata thamani ya walivyoaanza kuuza hisa.
Russia wanadai wameutune uchumi wao kuweza kusurvive kea at least miezi 4 kwa Bei ya 20 USD kwa pipa
 
Back
Top Bottom