Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama bei itakuwa imeshapanda?Unachokiona sasahivi kwenye soko la dunia kitakuja kuonekana kwenye bei za mafuta kwa Tanzania mwezi May 2020 sababu EWURA wanatumia M-2
Oil down again 20% today. Now @$2180
Tulitakiwa tuwe na national fuel reserve.Hata kama bei itakuwa imeshapanda?
Maana Jana na leo bei imepanda kwa asilimia 30 baada ya Marekani kusema ataingilia mgogoro wa Saudi na Russia ambao ndio ulichangia bei ya oil kushuka.
Ni kweli kabisa lakini sisi wa Afrika hatuipangilii kesho yetu.Tulitakiwa tuwe na national fuel reserve.
Huu ni muda wa kununua na kuweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
U.S. to buy initial 30 million bbls of oil for emergency stockpile
More: U.S. to buy initial 30 million bbls of oil for emergency stockpile
Hata kama bei itakuwa imeshapanda?
Maana Jana na leo bei imepanda kwa asilimia 30 baada ya Marekani kusema ataingilia mgogoro wa Saudi na Russia ambao ndio ulichangia bei ya oil kushuka.