No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,785
Duh! Serious kweli....bei ya nauli iwe ya mafuta.Itabidi ishuke Hadi 500-1000 kwa lita vinginevyo watakuwa wanatuibia,,
Tacucuru watangaze upya Bei ya mafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Serious kweli....bei ya nauli iwe ya mafuta.Itabidi ishuke Hadi 500-1000 kwa lita vinginevyo watakuwa wanatuibia,,
Tacucuru watangaze upya Bei ya mafuta
Ndo hivyo,kiufupi Bei Sasa inazidiwa na Bei ya maji ya kunywa lita na nusuDuh! Serious kweli....bei ya nauli iwe ya mafuta.
Naona kama masoko yote makubwa duniani hali ndio kama hii.Pakistan Stocks Fall Triggering Market Halt Amid Global Sell-Off
More: Pakistan Stocks Fall Triggering Market Halt Amid Global Sell-Off
Kila mtu anakimbia kudump share sokoni,so hisa zinaporomoka thamani.Naona kama masoko yote makubwa duniani hali ndio kama hii.
Corona itakuwa kusingizio kikubwa sana cha economic failures hata kwa zile nchi ambazo zina sera mbovu na uchumi wake ungefanya vibaya hata bila Corona.Kila mtu anakimbia kudump share sokoni,so hisa zinaporomoka thamani
Bonds, Oil, Stocks, Indices, Futures are at their all time lows.It seems like another recession is knocking the door this morning.
Ikitokea wiki hii bank yoyote ikaomba msaada wa fedha. Itakuwa ni nosedive
Yes. At $40 they meet their budget forecasts.Ilikua hivi,Bei ya mafuta ilikuwa chini Kama dola 60 kwa pipa,nchi za opec zikakutana na kutaka kupunguza uzalishaji ili Bei ipande,,Russia akakataa kupunguza uzalishaji,,Saudi Arabia wakapanick,kwa hasira wakapunguza Bei ya mafuta kwa kuongeza uzalishaji Mara dufu,
Bei ya mafuta ikacrush Jana Hadi dola 30 kwa pipa,
Hapo maana yake makampuni ya mafuta ya marekani inabidi yafunge uzalishaji maana Bei ya Sasa hailipi hata gharama za kuchimba mafuta,
Maana yake Ni kuwa makampuni yatashindwa kulipa mikopo bank na hivyo bank zitacrush ,chain reaction itapelekea soko la hisa la marekani kuanguka juu makampuni mengi yatakua bankrupt maana uchumi wa marekani umebase kwenye petroldollar,
Kwa upande wa Saud Arabia nao kampuni yso aramco hisa zimeshuka thamani kuliko hata thamani ya walivyoaanza kuuza hisa.
Russia wanadai wameutune uchumi wao kuweza kusurvive kea at least miezi 4 kwa Bei ya 20 USD kwa pipa
Bei inaweza isishuke, hiyo amount ikachukuliwa kibabe na serikali.Itabidi ishuke Hadi 500-1000 kwa lita vinginevyo watakuwa wanatuibia,,
Tacucuru watangaze upya Bei ya mafuta
Dollar imeshuka sana kwa sasa. Labda fedha yenu ndo ianguke.So je hii ataathiri pesa yetu
means dollar itakuwa juu sana,
au tutegemee kitu gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchumi wa dunia unategemeana sana.Corona itakuwa kusingizio kikubwa sana cha economic failures hata kwa zile nchi ambazo zina sera mbovu na uchumi wake ungefanya vibaya hata bila Corona.
Ina maana demand ya dollar itakuwa low,mfano Kama China ilikuwa inunue mafuta ya dola bilion10,Sasa kwa kiasi kilekile inanunua kwa dola billion 3,So je hii ataathiri pesa yetu
means dollar itakuwa juu sana,
au tutegemee kitu gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu takukuru ndio hupanga bei ya mafuta?Itabidi ishuke Hadi 500-1000 kwa lita vinginevyo watakuwa wanatuibia,,
Tacucuru watangaze upya Bei ya mafuta
Ah,sikumbuki vizuri,hivi Ni takukuru au Tamisemi?
EWURA lakini sina uhakika sana!
Mkuu umeelezea vizuri lakini sikubali kama stocks na indices are at their all time lows.Bonds, Oil, Stocks, Indices, Futures are at their all time lows.
Gold was supposed to be safe heavens, still fund managers sell gold to cover their losses.
Hard times for businesses, traders, investors and fund managers.
At 20%, it's retest. Above 30%, we call it recession.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fundamentals and Technicals showed that Oil is going to plunge.Kama kuna mtu yoyote ali invest kwenye oil asubuhi. Sasa hivi ana profit nzuri, almost 18% difference since morning. Probably you might not across again in your life time.
But, it is IN and OUT.
But the biggest problem, is knowing where to jump IN.