Oil price crushes by 30% at the market open

It seems like another recession is knocking the door this morning.
Ikitokea wiki hii bank yoyote ikaomba msaada wa fedha. Itakuwa ni nosedive
Bonds, Oil, Stocks, Indices, Futures are at their all time lows.

Gold was supposed to be safe heavens, still fund managers sell gold to cover their losses.

Hard times for businesses, traders, investors and fund managers.

At 20%, it's retest. Above 30%, we call it recession.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes. At $40 they meet their budget forecasts.

Mpaka May, tutajua wapi tumefikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itabidi ishuke Hadi 500-1000 kwa lita vinginevyo watakuwa wanatuibia,,
Tacucuru watangaze upya Bei ya mafuta
Bei inaweza isishuke, hiyo amount ikachukuliwa kibabe na serikali.

Zaidi itashushwa kwa 300.

Utasikia fedha nyingine zimepelekwa kwenye elimu bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona itakuwa kusingizio kikubwa sana cha economic failures hata kwa zile nchi ambazo zina sera mbovu na uchumi wake ungefanya vibaya hata bila Corona.
Uchumi wa dunia unategemeana sana.

Kitu kidogo kina trigger kuanguka kwa vyote.

China ni manufacturing powerhouse kwa sasa, almost kila nchi ilikuwa inafanya biashara kubwa sana China.

Corona imesababisha China kuzuia imports and exports.

China consumes arround 20% of global oil. What do you expect?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu takukuru ndio hupanga bei ya mafuta?

Sent using Jamii Forums mobile app
EWURA lakini sina uhakika sana!
Ninakumbuka mara nyingi bei zimekuwa zinashuka kipindi cha nyuma kwenye soko la dunia lakini Petrol stations hazibadili. Na EWURA wanakaa kimya labda kama sasa hivi wamebadilika!
Kwa Africa price inabadilishwa haraka pale inapopanda kwenye soko la dunia!
 
Mkuu umeelezea vizuri lakini sikubali kama stocks na indices are at their all time lows.
USA and Asia indices are still high ukilinganisha na miaka ya nyuma. Dow Jones ipanda kwa kasi sana yangu Trump alipoingia madaraka. Obama aliacha at 15,000 kama sijakosea. Leo bado ipo at 24000.
Major tech stocks are ridiculously overpriced such as Facebook, Microsoft, Apple.

Kuna kampuni nyingi toka IPO zinalamba hasara ya mabilioni kwenye vitabu lakini kwenye share prices ni tofauti. Mfano Uber na Lyft. Na most of China tech companies.
Haya makampuni kuwa bei za juu ndio yamechangia kilichotokea siku za karibuni.Investors wana take advantage of high prices.

China index pamoja na Corona bado ipo juu. The biggest casualties ni European indices because their Funds like to SHORT anything!
 
Kama kuna mtu yoyote ali invest kwenye oil asubuhi. Sasa hivi ana profit nzuri, almost 18% difference since morning. Probably you might not across again in your life time.
But, it is IN and OUT.
But the biggest problem, is knowing where to jump IN.
 
Kama kuna mtu yoyote ali invest kwenye oil asubuhi. Sasa hivi ana profit nzuri, almost 18% difference since morning. Probably you might not across again in your life time.
But, it is IN and OUT.
But the biggest problem, is knowing where to jump IN.
Fundamentals and Technicals showed that Oil is going to plunge.

It was a matter of time.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona itakuwa kusingizio kikubwa sana cha economic failures hata kwa zile nchi ambazo zina sera mbovu na uchumi wake ungefanya vibaya hata bila Corona.
Usishangae Air Tanzania wakiomba Gov stimulus kwa sababu ya Coronavirus!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…