Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hivi huyu kichwa chake kipo sawa kweli? Anaongea maneno ambayo hata nafasi yake inamsuta na kumutkana.
Yalitokea Oktoba 29 na 30 ndio maana ya haki za binadamu? Kuna familia hadi leo hawajui ndugu zao wapo wapi
============
Rais Samia ni Kinara wa haki za Binadamu, uhuru wa dini, uhuru wa vyombo vya habari na Mwanadiplomasia Nguli Duniani” Ojambi Masaburi, Mbunge wa Kivule