Ojambi Masaburi: Rais Samia ni Kinara wa haki za Binadamu, uhuru wa dini, uhuru wa vyombo vya habari

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Hivi huyu kichwa chake kipo sawa kweli? Anaongea maneno ambayo hata nafasi yake inamsuta na kumutkana.

Yalitokea Oktoba 29 na 30 ndio maana ya haki za binadamu? Kuna familia hadi leo hawajui ndugu zao wapo wapi
============
Rais Samia ni Kinara wa haki za Binadamu, uhuru wa dini, uhuru wa vyombo vya habari na Mwanadiplomasia Nguli Duniani” Ojambi Masaburi, Mbunge wa Kivule

Your browser is not able to display this video.
 
zezeta hata anayempamba anajua anamdanganya ili ale
 
Matraco yake apokonywe mbupu aadhalilisha wanaume wenzie..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…