OK, ila wakifanya hivi wengine, wanaonekana wehu

OK, ila wakifanya hivi wengine, wanaonekana wehu

Kenyans Wana shida..mbona wao lockdown haijawasaidia?..victims wengi kuliko TZ?

Halafu mbona hata China haikuweka lockdown nchi nzima?

Kulikuwa hakuna lockdown Beijing wala Shanghai..

Ujerumani hawana lockdown wamekufa elfu 4 Tu Hadi sasa wakati UK yenye lockdown zaidi ya elfu 15..

Lockdown sio only option
Hayupo aliesema lockdown ni only option, hata maombi ni option ndugu.
Lockdown bila a responsible citizenry haiwezi kufanikiwa kamwe, sawa na maombi bila imani ni total waste of valuable time!
So kabla hujapondea pata kuelewa reason behind.
 
Hii ni movie mkuu.
Tumia kichwa kufikiri sio kufugia nywele

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo movie inaitwaje?

Yaani umeona mimi sijui scenes za movies?Kuna scenes za movies Zinakua na qualities mbovu hivyo? Sababu hiyo inaonesha imerikodiwa na layman kwa low quality devices, acha upumbavu we famba.
 
Kenyans Wana shida..mbona wao lockdown haijawasaidia?..victims wengi kuliko TZ?

Halafu mbona hata China haikuweka lockdown nchi nzima?

Kulikuwa hakuna lockdown Beijing wala Shanghai..

Ujerumani hawana lockdown wamekufa elfu 4 Tu Hadi sasa wakati UK yenye lockdown zaidi ya elfu 15..

Lockdown sio only option

Wapi umeambiwa kuna lockdown Kenya yote? Jameni chukueni tahadhari, Kenya tumejitutumua kiaina mpaka tunapima watu 1,000 na kupata wenye maamukizi kumi tu, nyie naona kwa siku mbili tu mnaelekea kutufikia na bado mnaendelea kukaidi...

2374276_IMG-20200420-WA0018.jpg
 
Kenyans Wana shida..mbona wao lockdown haijawasaidia?..victims wengi kuliko TZ?

Halafu mbona hata China haikuweka lockdown nchi nzima?

Kulikuwa hakuna lockdown Beijing wala Shanghai..

Ujerumani hawana lockdown wamekufa elfu 4 Tu Hadi sasa wakati UK yenye lockdown zaidi ya elfu 15..

Lockdown sio only option
Hivi wewe unaishi kwenye shimo au vipi?
 
Hayupo aliesema lockdown ni only option, hata maombi ni option ndugu.
Lockdown bila a responsible citizenry haiwezi kufanikiwa kamwe, sawa na maombi bila imani ni total waste of valuable time!
So kabla hujapondea pata kuelewa reason behind.
Uliwakagua wanaoomba ukagundua hawana imani? Kama unayo imani pamoja na kujikinga kitaalamu kwanini usiombe pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vibongo bana lockdown si ya kusimamisha ugonjwa ni kupunguza kasi au rate ya maambukizi ili sekta ya ya afya na nchi isilemewe na maambukizi mengi kwa mpigo
Mtatuelewa tuu
 
Paranoia inawasumbua..
Waliokufa Uganda 0
Waliokufa Tz 7 na wote Wana magonjwa mengine...

Mnatazama CNN Sana zinawapa unnecessary panics na paranoia
Huwa nakuona kama some reasonable Tanzanian lakini hili la corona sijui nini kimekuingia.
Hao ni wale confirmed corona as the cause of death, ila hakuna mwenye stats za vifo vilivyosajiriwa in the last one month or so, labda kama una mshikaji mochwari akueleze kama kuna increased activities.
So chukua tahadhari wacha kukaidi.
 
Uelewa wako utakua na manufaa zaidi kule dampo!
Nawajibika kwa kile nilichokiongea sitowajibika na tafsiri yako.

Hivyo Mimi nawajibika na umburula wako uandamizi sio?
Acha kupangia watu cha kuamini
 
Hivyo Mimi nawajibika na umburula wako uandamizi sio?
Acha kupangia watu cha kuamini
Ndo maana nimekuambia uelewa wako ni wa dampo. Vitu vidogo mpaka ufafanuliwe!
Kwa mfano nikitukana mtu, utakamatwa wewe au mimi? mimi ndo ntawajibishwa.
Mimi nawajibika na kile ntakacho kisema, kama uelewa wako mdogo ukakupelekea kutafsiri tofauti mi ntawajibikaje na hiyo tafsiri yako?
 
Haihusiani na mada we mburula uwe unaelewa.
Jadili upuuzi uloandika acha kubadili mada unadhihirisha kamasi ulizojaza tumboni na kichwani
 
Back
Top Bottom